Laury
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,265
- 1,508
Nawaza tu hapa! Baada ya kusomwa report yenye tuhuma za Mh. Mkuu wa mkoa kuvamia Taasisi ya clouds Media, Nimejiuliza maswali haya;
1. Mkuu wetu je ataweza kumchukulia hatua kijana wake mpendwa ili hali alishasema yy hapangiwi na hasikilizi maneno maneno, yy kwake kazi tu.
2. Waziri mwenye dhamana ya habari yuko tayari kuonyesha uzalendo wa kujiuzuli ikiwa hatasikilizwa kwa maoni atayoyawasilisha ambayo dhahiri moja kwa moja yanalenga kutenguliwa kwa mkuu wa mkoa na ikizingatiwa alishatoa ahadi ya kuwa hakuna sababu ya yy kuendelea kuwa Waziri ikiwa na hili litamshinda?
Nawaona nawaonaaa...Me ngoja nisubiri ubuyu tuuu kutoka Ikulu