GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,214
Shalom Nyote!
Leo Jumapili Hii Nipo KIROHO Zaidi Ila Sitaki Ipite Hivi Hivi Bila Kutoa DUKU DUKU Langu Nililonalo Kwa Kipindi Sasa.
Hivi Sisi WAKRISTO Ni Kwamba Siku Hizi Tumepiga MAENDELEO Ya KIROHO YALIYOTUKUKA au Ndiyo TUNAMKASIRISHA Mwenyezi Mungu Tu?
Siku Hizi Ukienda Kanisani Na Labda Tu Ukiondoa Kwa Sisi WAKATOLIKI TULIOTUKUKA Basi Humo Katika Kanisa Hizo Nyimbo Za DINI Ambazo Zitapigwa Hazitakuwa Na Tofauti Sana Na Masebene Ya Ndombolo, Zitutana, Kwasakwasa, Kibindankoi Na Ekotitee.
Jamani Hivi:
Karibuni Na Hata Ndugu Zangu WAISLAMU Nanyi Pia Mnakaribishwa Kuchangia Na Kutoa Pia Maoni Yenu Kwani Naamini Wote TUNAMWOMBA MUNGU Mmoja Ni Hizi Zingine Ni Mbwembwe Zetu Tu SISI Wanadamu.

- Kukatika KIUNO Madhabahuni Ni Halali Kwa Mungu?
- Waumini Wanacheza Sebene Hadi Wanaelekezeana Makalio Yao Ni Halali Kwa Mungu?
- Waumini Kucheza Pale Madhabahuni Hadi Wengine WANAJAMBA Na Harufu Sometimes Sisi Tuliokaa Tunaisikia Huku Wakitokwa Na MIJASHO Ni Kupena UPAKO Huko au Kutafutiana Tu NUKSI?
- Muimbaji au Kwaya Husika Kuvalia Nguo ZILIZOBANA KUNAKOTUKUKA Hadi Unaona Kila Kitu Kilichoumbwa Na Mwenyezi Mungu Huyo Huyo Ni HALALI Kiroho?