wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 24,965
- 27,203
Msaada wana jamvi kama kawaida yangu wa sendi niko stendi huku kuna mjadala mzitovsana tumeshindwa kuutatua!! Eti kinyoga anataga?? Au anazaa!!! Wapo waliosema anazaa tena wakaenda mbali wanasema eti kuzaa kwake anapanda juu ya mti anajiachia akidondoka watoto wanatoka na yeye anakufa! Na wengine wanasema eti anajifukia chini makitaga anatoka anacha mayai chini ardhini anafikia hadi siku watotowanajitotolesha!! Waku tumeachwa njia panda tumeshindwa jibu kamili naombebi wenye uelewa zaidi mnijize