Recent content by UMBWE1

  1. UMBWE1

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Tumeshatoka kwenye mpira wa kufinya na kupunguza,baada ya hapo unafanya nini ? hivi unajua pale arsenal hakuna goal pocha mzuri kam EZE? lakin siunaona mechi nyingi anaanzia nje ? umeshajiuliza ni kwa nini ?
  2. UMBWE1

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Tulishavuka kumtegemea jesus,kama striker wetu,kwa sababu ya face tuliyoingia,Jesus alikuwa false 9,Ambaye kazi yake kubwa ilikuwa kuchukua mpira chini kupeleka mbele,sasa tupo kipindi team zinacheza low block sana zidi yetu,anahitajika mtu anayeweza kupeana mbavu na mabeki na kufanya movement...
  3. UMBWE1

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    napenda siku hizi raya anacheza kwa maturity kubwa sana
  4. UMBWE1

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Shida ya MAN U,wanataka kufix problem badala ya kustart the process,huwez kufix problem kama hauna muundo wa team,arsenal walipomleta Arteta walikubali shida yao kwamba hawapo hata level ya top four,wakaanza kutengenza kutokea chini na arteta,miaka mitatu ya kwanza kaitumia kutengeneza...
  5. UMBWE1

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Broo ukiwa unamjibu shabiki wa arsenal mjibu wa heshima,ukumbuke unaongea na bingwa wa uingereza
  6. UMBWE1

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Thank you JESUS we are CHAMPION
  7. UMBWE1

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    unaposema hatupo bora unatufananisha na nani au na kitu ghani ?
  8. UMBWE1

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kwangu mimi naonaga mechi ya arsenal inakuwa rahisi aikiwa underdog
  9. UMBWE1

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hivi unajua mwaka jana PSG katutoa kwa sababu ya ubora wa donaruma na sio walituzid mpira mechi zote mbili ndio alikuwa MAN OF THE MATCH
  10. UMBWE1

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    broo unamaumivu sana
  11. UMBWE1

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Sasa hivi tuizungumzie timu yetu,achaneni kusemana hata Kama mtu alikimbia wakati tunafanya vibaya acha Sasa hivi awe huru huyo bado Ni Arsenal Na anatufaa kuwasema kina flano Na mr Liverpool,kinachotuunganisha Ni Arsenal tuwe focus Kama mkorea.LET ENJOY ARSENAL STATUS NOW,Na tujadili...
  12. UMBWE1

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    arsenal ni kama wanatimu mbili zinakaribiana sana kwa ubora,wakati liverpool akiumia salah na van timu inaweza kushake sana
  13. UMBWE1

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    tupo na tutagombania ubingwa mwaka huu,nilichokiona liverpool wanatimu zaifu mwaka huu
  14. UMBWE1

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Mungu: Nimeiombea "graphics card" mbovu - imepona!

    Hakuna kisichowezekana kwake yeye aaminiye,iman sio kukebehi au kujaribu imani inaendana na uhalisia wa maisha yetu. Imani inabadirisha mambo.hongera sana kwa kupata muujiza.
  15. UMBWE1

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Piero Hincapie,matajari wa arsenal safari mbona siwaelewi kabisaaa chuma kipya hicho
Back
Top Bottom