IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,735
- 7,080
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huyu nae...Nyie kenge kweli mnataka ubingwa captain Odengada 😂😂😂😂
Nani aliongeza pesa akaondoka....nikumbushe mkuu nimesahau kama yupo....makombe yanakuja mkuu ila sio Carling cup...lile ni kombe la ndondo cup....na ile ndo mara ya kwanza na mwsho kwa nyny kunyanyua kwapa tena....baada ya miaka 10 ijayo ndo mtapata tena Carling cupHaya yakina Isak tuache tutayamaliza wenyewe, ngoja atue kwanza wissa Au nkunku Then atauzwa tu.
Wachezaji kugoma hajaanza isak tu hata kwenu wapo waliogoma mpaka wakaongezea hela ili tu wasepe arsenal.
Sisi tunataka tu Liverpool waletee kitita cha maana kabisa 150 huko ndo asepe.
VIPI MWAKA HUU NDO PHASE YA MAKOMBE AU???😂
Kumfunga nyumbu ndio kombe letu sasa . Yaaan mna tapa tapa .. arteta amewafunga sana . Nyumbu mmekuwa wake zetu siku hizi.Kwa akili hizi za mashabiki wa Arsenyau Tetea Kiwigi apewe tu Life Contract hapo Arsenyo.
Nilidhani Kiwigi miaka 12 ya uwepo wake hapo Arsenyani atatetewa walau kwa kubeba kombe hata moja la Epl au Europa, kumbe anatetewa na kushangiliwa kwa kumfunga Nyumbu mechi 8 kati ya 12 walizocheza?
Haya maneno ya Will Jr yamenifikirisha sana na kunifanya nikumbuke ile kauli ya marehemu Jomo Kenyata kwamba kule Arsenal Tetea Kiwigi anatawala Maiti.View attachment 3446063
Simkubali kabsa Arteta.
Ila kumfunga nyumbu kwangu ni furaha kubwa kuliko hata kubeba Uefa.
Mwisho wa ligi msimamo unakua hiviKumfunga nyumbu ndio kombe letu sasa . Yaaan mna tapa tapa .. arteta amewafunga sana . Nyumbu mmekuwa wake zetu siku hizi.
alaf tumewabadilishia style . Kona chumaa , kona goal,hii ina wauma sana
Tulikuwa tukija apo OT tunacheza mpira mkubwa mwisho wa siku mnatufunga .. sasa hv chezen nyie alaf tunawafunga sisi
Nlikuwa naskia mchezaji kavaa jez no 10 .. commentator anasema kunya kunya , alaf mchezaj hanyi😅😅
Fulham 3 - 1 nyumbu
Hamtakiw kuwa na furaha mpk dunia inaisha
Netflix arsenal muishi kwenye dunia yenu maana mlipata kocha anayewafaa ili baada ya ligi kuisha na msimamo kuwa hiviSimkubali kabsa Arteta.
Ila kumfunga nyumbu kwangu ni furaha kubwa kuliko hata kubeba Uefa.
Teyarimi nakwambiaje EZE akija arsenal tunachukua PL, sjui kwann ila i prefer EZE tha odegard