Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,059
- 61,301
Sahihi kabisa, ngoja tuone official statement ya club kama wamefanikiwa kukamilisha huu UsajiliEze anakupa option nyingi kuliko riodrygo...Eze anaweza akatokea pembeni,pia anacheza kama kiungo mshambulliaji