mkale
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 1,766
- 2,055
skelly kuwa inverted fullback imekuwa na athari hasi zaidi kwa timu hasa inapopoteza mpira ,kasi hana ya kurudi kwenye eneo lake na pia wkt mwingine anajisahau mno yupo eneo gani uwanjani ,atafaa zaidi endapo haya mambo ya ku invert asipewe yeye.I was thinking the same. Cala ana ukabaji wa kushika, pia anatumia nguvu zaidi kupita kiasi.
Naona Skelly atafaa zaidi maana aliwamudu vizuri PSG na zile winga zao sumbufu.. pia Skelly yuko comfortable zaidi akiwa na mpira, na ni ball carrier mzuri kwenye 3-2-5 transition.
