Recent content by umande

  1. U

    JamiiForums Tanzania Ijue Historia ya Firauni na uongo aliozushiwa

    Ww dini gani? Unataka nikuorodheshee dini ili uchague moja au?
  2. U

    JamiiForums Tanzania Ijue Historia ya Firauni na uongo aliozushiwa

    Kwahiyo ww dini gani? Au mpagani
  3. U

    JamiiForums Tanzania Ijue Historia ya Firauni na uongo aliozushiwa

    Kwani Nabii Mussa ndio aliyesema Firauni kafa maji? Hayo mengine uliyoandika yote ni sababu za Mwenyezi Mungu kuacha mwili wa Firauni
  4. U

    JamiiForums Tanzania Umbrella Gun: Usalama wa taifa la Urusi (KGB) walivyoua msaliti wa Bulgaria kwa sumu ya mwamvuli

    Komiteet Kosudarstvinoy Gezopasnosti In English = Committee for State Security KGB Lilikuwa Ni shirika la ujasusi la USSR
  5. U

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kweli: Mwanamke jini

    Mkuu unaweza kutujuza nani alisimulia au nani mtunzi wa hadith hii kama ilivyokuwa kwenye gazeti la sani. Maana si kwa story hii.
  6. U

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kweli: Mwanamke jini

    Story hii inaendana na jini uliyezaa nae au ?
  7. U

    JamiiForums Tanzania Mkasa wa kweli : Nilioa mwanamke jini na kuzaa nae

    Mmmmhhh. Duniani kuna mambo. Nami nitafutie mmoja huko baharini
  8. U

    JamiiForums Tanzania Mkasa wa kweli : Nilioa mwanamke jini na kuzaa nae

    Endelea. Story tamu
  9. U

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Oliver Mtukutzi. Wimbo Shebeleza. Video yake yupo jukwaani na watoto
  10. U

    JamiiForums Tanzania Wenye "madingi" wakali tukutane hapa

    Yaaani Nimecheka mpka nimejamba.
  11. U

    JamiiForums Tanzania Nakaribia kuhitimu chuo ila sijui kuhusu chochote nilichosomea

    Unasoma fani gani jamaa?
  12. U

    JamiiForums Tanzania Omnipotence paradox na ukomo wa nguvu za Mungu

    Hapo ndipo utakapogundua kuwa Yesu si mungu
  13. U

    JamiiForums Tanzania Kwamba hautambui mji wa Jerusalem wakati anategemea kuwaomba madawa na net za mbu

    Povu limekutoka utafikiri wewe ni Muisrael vile, Nawe bora ungetumia muda wako kujadili mambo mengine kuliko kutuletea mambo ya mji mkuu hapa. Mtumie na ujumbe raisi wa Korea Kaskazini ambae nae haitambui kabisa nchi inayoitwa Israel
  14. U

    JamiiForums Tanzania Proof waliompiga Risasi Tundu Lissu sio watu wa system.. Big No

    Mambo ya Lissu we yanakuhusu nini????
  15. U

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kumuelewa kiongozi katika dini yangu huyu

    Au atakuwa ni MZEE WA BUSARA
Back
Top Bottom