Ijue Historia ya Firauni na uongo aliozushiwa

Ni kweli mwili wake haujaaribika mpaka leo na siyo yeye peke yake ipo na miili mingine ya hao wafalme wa misri pamoja na wake zao na watoto wao. Kwa ujumla huo ulikuwa ni utaratibu wao wa kukausha hizo royal families zikifa na siyo huo uzushi eti alikaushwa na mungu hiyo process inaitwa mummification unaweza kugooge ukaelewa zaidi
Kwnn wnapend kumzungmzia yy n kuwaach wflme wngn nn ttzo!
 
Sio misri tu, hata Zanzibar wangezubar wangekuwa ni wao tu leo. Zipo nchi nyingi zenye mifano kama hii, za kale na za sasa pia. Makaburu South na wazungu Australia, weusi Haiti nk.

Nani hao unauwazungumza wangezubaa hapo Zanzibar?
 
Tunaomba utupe Historia ya uthibitisho wa ujio na kuwa wao ndo weneji halisi.
Na wewe! Kwahiyo we unaamini waarabu wa Zanzibar ni wenye asili ya hapo tangu ulimwengu uumbwe? Kasome vitabu vya Peryplus na vya akina Batuta.
 
Na wewe! Kwahiyo we unaamini waarabu wa Zanzibar ni wenye asili ya hapo tangu ulimwengu uumbwe? Kasome vitabu vya Peryplus na vya akina Batuta.

Sijasema hivyo, Ila nataka dalili za uthibitisho kama wa Africa <BANTUS> kama ndio wenye asili ya Zanzibar tangu ulimwengu ulipoumbwa, au japo dalili za ujio wao.
 
Sijasema hivyo, Ila nataka dalili za uthibitisho kama wa Africa <BANTUS> kama ndio wenye asili ya Zanzibar tangu ulimwengu ulipoumbwa, au japo dalili za ujio wao.
Kwahiyo unauhitaji uthibitisho Upi labda? Kama wa kihistoria huuhitaji, basi sina jinsi twende wa Kiimani na kijiigrafia, ya kwamba hapo awali palikuweko na ardhi na maji, ardhi katikati tu na maji pembeni...hapo visiwa si jambo lenye kufikirika. Kwahiyo Zanzibar ni sehemu ya Tz ya bara.
 
Zanzibar Si Sehemu Ya Tz Bara ila tunaweza kusema Tz Bara nisehemu ya Zanzibar kwa mujibu wa historia inavotufundisha.
 
Unaziulizia zangu wakati weye bado umeshindwa kuleta
Hivi weye hufaham kama eneo kubwa tu la Tanganyika liliwahi kuwa kwenye himaya ya Zanzibar?
We ni waajabu kweli, hoja ilikuwa ni eneo ama wakazi? Nije kwako, haya nije kwako, hiyo Zanzibar unayoizungumzia, ambayo ilijumuisha eneo kubwa la bara, wakazi wake wa Asili walikuwa ni waarabu ama watu weusi?
 
mbona unaonekanwa kuwa unamatatozi chuki hasira sana na waarabu, vipi mkuu wamekufanya nini?
 
YAANI WEWE UMEONGEA ONGEA TUUUUU...HUNA USHAHIDI UNAOTHIBISHA UNAYOYASEMAA...WEWE NDIO MIONGONI MWA WALE MNAOAMINI MLIKUWA SOKWE...KWA KELELE TU ZA ASSUMPTIONS...ETI MIAKA 2000BC...NANI ALIKUWEPO NA AKAANDIKA HAYO YAKAkaa UKAYAPATA WEWE HAPA UKAFIKIA KUPINGANA NA YALIOANDIKWA KWENYE VITABU VYA DINI...

SASA NGOJA NIKUJIBU LOGICALLY...

UNAYOYAONA KWENYE VITABU VYA DINI...YAMEANDIKWA NA KUSIMULIWA NA MWENYEWE ALIYEKUUMBA WEWE, MIMI, FIRAUNI MWENYEWE(MEMES), ALIYEIUMBA HII DUNIA NA WATU WALIOKUWEPO TOKEA DUNIA INAANZISHWA...NDIYE ALIYETUSIMILIA HAYA...

WEWE UNAYEPINGA HUENDA NI KATOTO KA MIAKA YA 90 KAPUUZI KAMOJA HIVI KAMETOKA KUPIGA PUNYETO HAPA UNATULETEA MASIMULIZI YA KUHISI NA KUDHANIA...

SISI TUMEYAPATA KWA MUANZILISHI WA KILA KITU..NA MUENDELEZAJI NA MMALIZAJI WA DUNIA...KWANINI NISIMUAMINI ANGALI YEYE NDIYE KANIUMBA MIMI NA WEWE...?

ETY OOOOH SIJUI NINA PHD NA DEGREE YANGU NITAAMINI VIPI...MWILI UNAZIKWA ALAFU UNAUKUTA UKO JUU...? AKILI YA KITOTO KABISAA...AU KAMA SI YA KITOTO...BASI NI AKILI YA KUTOKA KUPIGA BAO LA PUNYETO...

HIVI NITAAMINI VIPI WEWE ULITOKEA KWENYE BAO LA BABA AKO ALAFU UKATOKEA KWENYE TUMBO LA MAMA AKO KWA KUZALIWA...

WEWE ULIKUWA BAO WEWE LILILOMWAGWA BAADA YA KUFIKIA MSHINDO KWA UTAMU WA TUKIO...TUTAAMINI VIPI WEWE ULIKUWA BAO...

FIKIRI KABLA SIKU HUJAJIKUTA UKO ARDHINI KABURINI NA KUJIULIZA UMEFIKAJE HAPO...NDIO UTAJIBIWA...ALIYEUTOA MWILI WA FIRAUNI ARDHI AKAULETA JUU NDIYE ALIYEKULETA ARDHINI.

YAANI SIJUI HII AKILI YAKO NI MATOPE YA UDONGO WA AINA GANI AU WA WAPI...

KAMA UNADHANI NI RAHISI KUHIFADHI MWILI WA MTU BINADAMU KWA MIEZI HATA 10 TU...SIO MIAKA...UKAUHIFADHI KAMA ULIVYOKUWA MWILI WA FIRAUNI UNAOSEMA UMEHIFADHIWA...SIJUI UKAHAMISHWA HAPA MARA PALE...UNADHANI WANAHAMISHAGA TU EEEH...

NENDA KAMHAMISHE BABU YAKO BASI ALIYEKO KABURINI...AU BABA AKO KAMA AMEKUFA...KAMA UTAWEZA MFANYA KAMA FIRAUNI...

ALIYEMUUMBA FIRAUNI NDIYE ALIMWEKA FIRAUNI MPAKA LEO HII...TANGU MAMIAKA MENGI YALIYOPITA HUKO...NA NDIYE HUYO HUYO ANAYEOZESHA WATU WENGI WENGINE WASIKAE KAMA FIRAUNI HIVYO...

AKITAKA HATA WEWE ANAWEZA AKAKUUA KICHWA MPAKA KIUNONI...MIGUU IKAWA INATEMBEA...HATUSHANGAI MATENDO YAKE WALA HATUULIZI MAAJABU YAKE...COZ NDIVYO ALIVYO ANAFANYA ATAKAVYO NA NDIYE MWENYE UWEZA JUU YA KILA KITU ATAKACHO...

KAMA UNADHANI QURAN NI MANENO TU YA MSIMULIZI AMESHIBA UGALI WA ULEZI...KAAMUA KUTUPIGISHA STORY KAMA PUMBA ZAKO NA WANAHISTORIA WENZAKO...BASI TENGENEZA HATA SENTENSI MOJA YENYE MANENO MAZITO KAMA YA KWENYE QURAN LETA...

RUDI NENDA KAMALIZIE BAO LAKO LA PILI...UMALIZIE SABUNI YAKO...
 
KATI HIVYO VITABU NA WEWE...NI NANI ANAYEONGEA DHANA POTOFU...?

WENZAKO WANA UTHIBITISHO LOGICALLY WA MSIMULIZI WAO...WEWE UNATULETEA BLAA BLAA ZA HADITHI ZA SUNGURA NA FISI HAPA...
 
Sishangai ulicho andika maan wewe hauna tofauti na wapingaji waliopita
1Swali kama alishindikana kuzikwa kwanini asizikwe sasa?
2 Tunavyojua mwili ukikaa mda mrefu kabulini yanabaki makapi(mifupa tiiii) mbona huyo unaemtetea bado angali akiwa anauafadhari ??
 
Uwe Muelewa, Hakuna haja ya yrye kuzikwa sasa ili hali watu wanatafuta miili mingine ya Wamisri hao wa kale kwa ajili ya Utalii! Hivyo sababu kubwa ya yeye kutokuzikwa sasa ni utalii..
2. Miili ya Wafalme wa kale wa Misri iliwekwa dawa maalumu iliyowezesha miili yao kukaa miaka mingi bila kuharibika, na yeye Aliwekewa Dawa hiyo, Isitoshe Mwili si wake peke yake uliopo kwenye makumbusho ya misri ya kale! miili ni mingi sana, ya mapharao mbalimbali na mamalkia na yote ipo kama ya huyohuyo Pharao sababu ya dawa zilizotumika katika kuhifadhi maiti..
 
Kwani Nabii Mussa ndio aliyesema Firauni kafa maji?

Hayo mengine uliyoandika yote ni sababu za Mwenyezi Mungu kuacha mwili wa Firauni
 
Similar Discussions

24 Reactions
Reply
Back
Top Bottom