Omnipotence paradox na ukomo wa nguvu za Mungu

Nimeuliza.

Kama mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote yupo, kwa nini kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

Kama aliweza kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani lakini hakutaka tu, ni kweli ana mapenzi yote?

Kama hakuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani licha ya kutaka kuuumba ulimwengu huo, ni kweli ana uwezo wote?

Habari,

Si azma yangu kudahaliana kuhusu mungu kuwepo ama kutokuwepo; ila ninapenda kudadisi na wewe katika namna ya shauri hili : kipi ni kizuri na kipi ni kibaya hasa kwa mujibu wa wewe kwa mfano?

LABDA

Ubaya ama uzuri ni udhanifu wetu sisi kama watu, kila kitu kipo kwa kusudi 'kuwa' na 'kutokuwepo' pia pasi kusudi --na basi labda vyote viwili 'kuwa' na 'kutokuwa' ni jambo lile lile(?)

Yapo mambo mazuri yanangojea watu wenye kiu ya maarifa na mwangaza ikiwa 'watachomoka' kwenye 'falsafa'--falsafa tupu minajili ya dhana, tasnifu na kinyume cha tasnifu... Basi ninazungumza ujanja ule hasa wa kushughulika na 'usanisi'... Mbona yawa ni nadra kwa watu kugundua mlango wa 'usanisi'?

Maisha ni Usanisi.

Msigano na hoja ni zao duni la mafikara yetu 'madogo madogo' tena yenye kujifunga funga --haya yanazaliwa kwenye vichwa vyetu na yatabakia humo humo pasi msaada hasa; ule wenye kubarikia uvuvio zaidi na mastaajabu katika mtu... Kutufanya sisi ni watumwa wa fikra zetu hafifu japo twazidhania ni imara, kuona ni minyororo ya 'kuadhibiwa' kunako dhiki, kusahaulika na kutupwa na hali wakati wowote tungalifanyika huru na kutambulika kuwa tu ni wana wa nuru tena wenye utashi...

Vipi basi mtu asitoke katika 'mungu mtego wa kimsigano' hadi 'afikie mungu wa usanisi'? Kutoka katika mungu wa vikomo hadi katika mungu asiye na vikomo?

Mungu mantiki msigano ni modeli yenye kujifungia, mungu fikra za kiusanisi ni ufunguo wa kuleta picha ya modeli wazi isiyoshikwa na kadri wala vipimo vya tathmini, ila kuwa namna zote za hivi zenye kuonekana kama hali yaweza kuwa si chochote(?)

Kupitia fikra za watu mbali kwa shauri mintarafu mungu, mtu na uzima kunaweza kulainisha mengi akilini; ningependa wengi humu waakisi fikra 'zilizolainika'... Bado hili halijitokeza humu katika gumzo hili.

Nani humu anaweza kuakisi ama kuleta madodoso ya maandishi ya Deepak Chopra, mfano kitabu How to Know God: The Soul's Journey Into the Mystery of Mysteries - Kindle edition by Deepak Chopra. Religion & Spirituality Kindle eBooks @ Amazon.com. (?) Kinapatikana https://www.google.com/url?sa=t&rct...od.pdf&usg=AFQjCNHpVlsSDl2ZMzfriZkbbAKh8Xpv2g

Mazungumzo ya namna hii yangalinogesha mazungumzo ya humu na pia kuyapa uhai wa kufanania ni uhalisi ama mwelekeo wa watu kutaka ama kupenda kujua yale ambayo yataliweza hata kubalisha maisha yao ili kuwa bora zaidi, na yenye ubarikika...

Hata hivyo ipi namna mimi kama mtu ninaweza kuleta na kutafsiri aya mbali mbali kutoka vyanzo vyenye kuweza kukidhi azma hiyo niliyotangulia kuitaja. Nimeshaanza humu, na nitaendelea kadri inavyofaa...

Naam
==========
Masomo ingiliano:

Imani ni nini?

Nafsi ni kitu gani?
 
Kibaya, kwa yoyote, ni kile kisichotakika na kizuri ni kile kinachotakika.

Hivyo, kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu ambao kisichotakika kwa yeyote kinawezekana na kinachotakika hakiwezekani?
 
Hmm...

Wamebarikiwa wenye moyo safi; kwa kuwa wao wapenda na si kutaka upendo kurejeshwa. Hawatawatendea watu wengine vile wengine wasingaliwatendea wao [Izando 8:3-4]

Bwana,

kibaya... chakutakiwa...

Hivi vinategemeana na usafi wa moyo wako ama kina cha upeo wako. Wajifikiri wewe ni nani, wafanyakitu gani hapa duniani (?) Maana yeyote juu ya lolote yapita kadri ya tafsiri yako ndani ya nyakati na jamii; na tena, unawajibika kwa upofu ama kuona lolote mbele yako ama kukuzunguka katika njia na mapito yako.

Labda dhana yako ya 'Upendo' bado ni mushkeli?

Basi hauko pekee yako.

Dhana ya Upendo na Nuru katika mtu haina budi kumulikwa upya. Mungu na Pendo, ni kitu gani?

++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
Aquarian Age Gospel of Jesus
Injili ya zama za Ndoo ya Yesu

Chapters 1 - 7
Sura 1 - 7

CHAPTER 7
Sura ya 7

Archelaus reigns. Mary and Elizabeth with their sons are in Zoan and are taught by Elihu and Salome. Elihu's introductory lesson. Tells of an interpreter.

Arkelausi atawala. Maria na Elizabeti na wana wao wapo Zoani wafundishwa na Elihu na Salome. Somo la Utangulizi la Elihu. Azungumza ya Mfasiri.

THE son of Herod, Archelaus, reigned in Jerusalem. He was a selfish, cruel king; he put to death all those who did not honour him. Mwana wa Herodi, Arkelausi alitawala Yerusalem. Alikuwa ni mbinafsi, mfalme katili; aliwatia mautini wale wote wasiompa heshima. 2 He called in council all the wisest men and asked about the infant claimant to his throne. Aliwaita barazani wale wenye busara zaidi ya wote na kuulizia juu ya kichanga kinachodaiwa kushika nafasi ya kiti chake cha enzi. 3 The council said that John and Jesus both were dead; then he was satisfied. Baraza likasema kwamba wote wawili Yohana na Yesu washakufa; basi yeye akaridhika. 4 Now Joseph, Mary and their sons were down in Egypt in Zoan, and John was with his mother in the Judean Hills. Sasa Yosefu, Maria na wana wao walikuwa Misri, katika Zoani, na Yohana na mama yake katika vilima vya Yuda. 5 Elihu and Salome sent messengers in haste to find Elizabeth and John. They found them and they brought them to Zoan. Elihu na Salome wakawatuma wajumbe haraka kuwatafuta ili kuwapata Elizabeti na Yohana. Wakawapata na kuwaleta Zoani. 6 Now, Mary and Elizabeth were marvelling much because of their deliverance. Sasa, Maria na Elizabeti walikuwa wakishangaa sana sababu ya wao kuagiziwa kufika. 7 Elihu said, It is not strange; there are no happenings; law governs all events. Elihu akasema, si jambo la ajabu; hakuna ya kujitokea tokea tu; sheria hutawala matukio yote. 8 From olden times it was ordained that you should be with us, and in this sacred school be taught. Tangia nyakati za zamani ilipangwa ya kwamba ninyi mngalikuja kuwa nasi, katika shule hii takatifu ili kufundishwa. 9 Elihu and Salome took Mary and Elizabeth out to the sacred grove near by where they were wont to teach. Elihu na Salome waliwachukua Maria na Elizabeti hadi nje uani patakatifu palipo karibu ambako walizoea kufundisha. 10 Elihu said to Mary and Elizabeth, You may esteem yourself thrice blest, for you are chosen mothers of long promised sons, Elihu alisema kwa Maria na Eliza, mwaweza kujisikia kuheshimikiwa baraka sana na sana na sana, kwa kuwa ninyi ni mama wateule wa wana walioahidiwa tangu mbali nyuma, 11 Who are ordained to lay in solid rock a sure foundation stone on which the temple of the perfect man shall rest--a temple that shall never be destroyed. Waliopangwa kulaza mwamba imara wa jiwe la msingi ambao kwa huo hekalu la mtu mkamilifu litatulia--hekalu ambalo kamwe kuja kuharibiwa. 12 We measure time by cycle ages, and the gate to every age we deem a mile stone in the journey of the race. Twapima marefu ya nyakati kwa mizunguruko ya zama, na lango kwa kila zama twaliona kusema ni jiwe la alama katika safari ya mbari 13 An age has passed; the gate unto another age flies open at the touch of time. This is the preparation age of soul, the kingdom of Immanuel, of God in man; Zama imepita; lango kwa zama ingine limeshafunguka wazi kwa muda kuwadia. Hii ni zama ya matayarisho kwa sonafi, ufalme wa Imanueli, ya Mungu katika mtu;14 And these, your sons, will be the first to tell the news, and preach the gospel of good will to men, and peace on earth. Na hawa, wana wenu, watakuwa ni kwa kwanza kusema habari, na kuhubiri injili ya mapenzi mema kwa watu na amani duniani.15 A mighty work is theirs; for carnal men want not the light, they love the dark, and when the light shines in the dark they comprehend it not. Kazi kubwa ni yao; kwa kuwa watu wa mwili wa nyama hawaitaki nuru, wao walipenda giza, na pale ambapo nuru yang'ara wao hawaimaizi. 16 We call these sons, Revealers of the Light; but they must have the light before they can reveal the light. Tunawaita hawa wana, wafunuaji wa Mwanga; ila yawapasa wao kuwa nuru kabla ya wao kuweza kuifunua nuru. 17 And you must teach your sons, and set their souls on fire with love and holy zeal, and make them concious of their missions to the sons of men. Na inawabidi ninyi kuwafundisha wana wenu, kuzitia moto sonafi zao kwa upendo na hamasa takatifu, kuwafanya wao wawe macho na dhima yao kwa wana za wanadamu. 18 Teach them that God and man are one; but that through carnal thoughts and words and deeds, man tore himself away from God; debased himself. Wafundisheni wao ya kwamba Mungu na mtu ni moja ila kwamba kupitia mawazo ya mwili wa nyama na maneno na matendo, mtu ajirarulia mwenyewe mbali na Mungu; kujishusha sifa yeye mwenyewe. 19 Teach that the Holy Breath would make them one again, restoring harmony and peace; Wafundisheni ya kwamba Pumzi Takatifu ingaliwafanya wao moja tena, kurudishia utangamano na amani; 20 That naught can make them one but Love; that God so loved the world that he has clothed his son in flesh that man may comprehend. Ya kwamba si chochote chaweza kuwafanya wao moja ila Pendo; ya kwamba Mungu ameupenda sana ulimwengu hata kwamba kumvika katika mwili wa nyama ili mtu apate kumaizi. 21 The only Saviour of the world is love, and Jesus, son of Mary, comes to manifest that love to men. Mwokozi pekee wa ulimwengu ni upendo, na Yesu, mwana wa Maria, aja kudhahirisha huo upendo kwa watu. 22 Now, love cannot manifest until its way has been prepared, and naught can rend the rocks and bring down lofty hills and fill the valleys up, amd thus prepare the way, but purity. Sasa, upendo hauwezi kudhahirika mpaka njia yake iwe imeandaliwa, na si chochote chenye kuweza kumong'onya miamba na kuviporomosha vilima vilivyokwea na kujazia konde, na basi kuiandaa njia, ila usafi wa moyo. 23 But purity in life men do not comprehend; and so, it, too, come in flesh. Lakini usafi wa moyo watu hawaumaizi; na hivyo, nao, pia, waja katika mwili nyama. 24 And you, Elizabeth, are blest because your son is purity made flesh, and he shall pave the way for love. Na wewe, Elizabeti, umebarikiwa kwa kuwa mwanao ni usafi wa moyo kufanyika mwili wa nyama, na yeye ataiandaa njia kwa ajili ya upendo. 25 This age will comprehend but little of the works of Purity and Love; but not a word is lost, for in the Book of God's Remembrance a registry is made of every thought, and word, and deed; Zama hii itamaizi kidogo tu ya kazi ya Usafi wa Moyo na Pendo; lakini si hata neno moja lapotea, kwa kuwa katika kitabu cha kumbukumbu la Mungu ingizo lafanyika kwa kila fikra, kila neno, na tendo; 26 And when the world is ready to receive, lo, God will sent a messenger to open up the book and copy from its sacred pages all the messages of Purity and Love. Na pale ambapo ulimwengu u tayari kupokea, lo, Mungu atamtuma mjumbe kukifungua kitabu na kunakili tokea kwenye kurasa zake takatifu jumbe zote za Usafi wa Moyo na Pendo. 27 Then every man of earth will read the words of life in language of his native land, and men will see the light, walk in the light and be the light. Kisha kila mtu duniani atasoma maneno ya uzima katika lugha yake ya nyumbani, na watu wataiona nuru, kutembea katika nuru na kuwa nuru. 28 And man again will be at one with God. Na mtu atakuwa tena katika moja na Mungu.

Chanzo: The Aquarian Age Gospel of Jesus, the Christ of the Piscean Age

++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
 
Hiki nini umeandika?jaribu kutumia akili zaidi ya mihemko please
 
Kibaya, kwa yoyote, ni kile kisichotakika na kizuri ni kile kinachotakika.

Hivyo, kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu ambao kisichotakika kwa yeyote kinawezekana na kinachotakika hakiwezekani?
We mtoto tatizo lako UWEZO WA MUNGU? Au KUWEPO KWA MUNGU?

Mbona hueleweki ? Unalalamika ka mtoto kanyimwa pipi siku ya pasaka!
 
Kuna versions nyingi za Omnipotence paradox,moja ni hiyo ya Averros

Lakini versions zote hizo zina lengo moja.Zinajaribu kuonyesha kuwa,Mungu mwenye uwezo wote au Omnipotent,kimantiki hayupo.

Ngoja niliweke hili swali,kwa lugha rahisi,

Tuna Mungu M,anayeweza kutekeleza tukio lolote bila kushindwa

Pia tuna tukio T,ambalo Mungu M anatakiwa kulifanya

Kwa kuwa Mungu M,ni muweza wa yote basi hawezi kushindwa kutekeleza tukio T

Let,tukio T=uwezo wa kuumba kiumbe chenye nguvu kuliko yeye

Je Mungu M,anaweza kulifanya?

Kama hawezi,basi hafai kuitwa muweza ya yote
[Omnipotent]

Na hata akiweza,bado hafai kuitwa Mungu,kwa sababu kiumbe alichoumba ndio kitakuwa na nguvu kuliko yeye.

Swali la msingi ni Je,Mungu anaweza kuumba kiumbe chenye nguvu kuliko yeye?

Sijajibiwa mpaka sasa.

EINSTEIN NEWTON na wengine wengi kuna vitu vya msingi mno mnakosea. Kwanza tukubaliane kuwa ulimwengu huu wote umejaa logical things, actually umeumbwa logically, sasa mbona unauliza illogical questions?

Sentensi hii 'Je, Mungu anaweza kuumba kiumbe chenye nguvu kuliko yeye' ni illogical! Ni sawa na kutaka mtu afikirie zaidi ya uwezo wa ubongo wake au gari likimbie spidi kali zaidi ya uwezo wake. Please don't force God to do illogical things kama kuchora pembetatu duara! Ask logical things and you will get the answer.
 
By principle of contradiction,unamaanisha,Law of non contraction?

Hapa unajitahidi kutatua tatizo,kwa kuleta tatizo jingine

Kama Mungu hawezi kufanya kitu fulani,kwasababu sheria za mantiki haziruhusu hicho kitu kifanyike

Basi huyo Mungu,naye yupo chini ya sheria za Mantiki

He is subjected to underpinning laws of classical logic

He is restricted to Logic.That is,his power have limit

And,if God's power have limit,then he is weak

Mungu mwenye nguvu zote,hawezi kuwa chini ya sheria za Mantiki

Kitendo chenyewe cha kutii sheria,ni udhaifu

Mungu mwenye nguvu zote, hazuiliwa na sheria!
Einstein Newton: Logic haijaumbwa na binadamu, logic imetokana na Mungu mwenyewe, yaani imetoka kwa Mungu mwenyewe. If the earth would be illogical then pengine hata tusingekuepo hapa Leo hii maana badala ya kunyesha mvua siku nyingine ingenyesha moto. Na kumkosoa Mungu kwa kuumba logic nawe unakua illogical. Kwa hiyo usiseme tena kuwa Mungu yupo chini ya sheria ya logic na hivyo ni mdhaifu.
 
Huyu huwa anataka kutumia logic kizungumza ishu za dini nimeamua kutumia mfano ambao umebase kwenye logic ya law of non-contradiction anasema mungu hafungwi na logic cha kushangaza swali lake limemfunga mungu kwenye logic ya law of contradiction kwa maana jibu lolote ambalo utatoa utalimit uwezo wa mungu nimejaribu kumfafanulia hiyo classical logic hataki basi na hili swali halifai kwa sababu limebase kwenye logic. Ni shida Sana kuendelea kubishana na MTU wa hivi.
 
[IMG=]http://eennlliighhtteenn.weebly.com/uploads/1/4/8/2/14824124/4574173.jpg[/IMG]

Omnipotence

Limetokana na maneno mawili ya kigiriki "omni na potens " ambayo yaana maanisha mwenye nguvu zote

Moja kati ya maswali ambayo ukimuuliza muumini wa dini yeyote ile mkristo au muislamu kuwa "Je, nguvu za Mungu wako zina ukomo?".

Jibu ambalo atakujibu ni hili, "Nguvu za Mungu wangu hazina ukomo".

Lakini fikiria hili; karne ya 12 mwanafalsafa maarufu wa wakati ule Averroes alisema haya kuhusu omnipotence;

"Can deity create a rock so heavy that even the deity itself cannot lift it? So then the rock is now unliftable limiting the deity power, but if not then the deity is not omnipotent because it cannot create that rock.

Hii ni sawa na kusema hivi "Je, katika sheria hizi hizi na Euclidean geometry, Mungu anaweza kutengeneza pembetatu ambayo jumla ya angle zake siyo 180?

Au Mungu anaweza kutengeneza gereza ambalo lina ulinzi mkali kiasi kwamba hata yeye mwenyewe hawezi kutoroka?
 
The Philosophy of Omnipotence.

Inaposemwa Mungu ni Omnipotence, maana yake anauwezo wote, usio na mipaka.
Omnipotence haina Limitation yaani kushindwa.

Hapa hitimisho la Kifalsafa ni kuwa.

Unapomzungumzia Mungu basi ondoa dhana ya Kushindwa.
Kwasababu kushindwa sio sifa ya Mungu.
Kushindwa ni Udhaifu, na Mungu siyo dhaifu. Mungu ni "Muweza"

Yaani Mungu anaweza kulitengeneza hilo jiwe, yaani Unlifted Rock na pia anaweza kulifanya chochote pamoja na kuliinua, kuliharibu, kulisagasaga, kulitowesha, kulipeperusha nk.

Asingeweza kufanya hivyo angeisha pinduliwa au kuzidiwa, sio tu na Living Entity kama Shetani, bali hata na Natura Forces kama Kimbunga, Mafuliko, Joto kali au Baridi, Hewa ya sumu nk.

Hapo panahitaji akili kubwa kidogo

Hii ndio maana ya Nadharia ya Omnipotence.

Unapomtathimini Mungu usimtathimini kwa Udhaifu wa kushindwa jambo fulani.

Ndio maana Mungu anaitwa
ALMIGHTY, angalia neno Almighty kwenye kamusi yako yoyote ile.

Kushindwa ni Sifa ya Viumbe yaani vitu, watu, wanyama, Roho, vilivyo umbwa au kutengenezwa.
Sifa ya viumbe ni pamoja na Kufa, Kuharibika, Kuchoka, Kudhohofika, Kuhitaji, nk.

Aliyeulizwa hilo swali hilo amekosea, hilo swali haulizwi Mungu bali viumbe vingine kama Binadamu.
Huwezi kuulizwa swali kama

Je Mungu anakula chakula gani ?
Swali hilo haliulizwi kwa Mungu kwani Mungu sio Binadamu hadi awe na njaa ya kuhitaji kula ili aishi.
Lakini hali hii haimzuii Mungu Kula chakula chochote akipenda yeye kula.

Walionielewa Shangilieni, Mshangilieni Mungu kwa kuwawezesha kuwepo.

Naweka saini nitarudi..
 
Uko vzr mkuu umeeleza vzr sana..
The Philosophy of Omnipotence.

Inaposemwa Mungu ni Omnipotence, maana yake anauwezo wote, usio na mipaka.
Omnipotence haina Limitation yaani kushindwa.

Hapa hitimisho la Kifalsafa ni kuwa.

Unapomzungumzia Mungu basi ondoa dhana ya Kushindwa.
Kwasababu kushindwa sio sifa ya Mungu.
Kushindwa ni Udhaifu, na Mungu siyo dhaifu. Mungu ni "Muweza"

Yaani Mungu anaweza kulitengeneza hilo jiwe, yaani Unlifted Rock na pia anaweza kulifanya chochote pamoja na kuliinua, kuliharibu, kulisagasaga, kulitowesha, kulipeperusha nk.

Asingeweza kufanya hivyo angeisha pinduliwa au kuzidiwa, sio tu na Living Entity kama Shetani, bali hata na Natura Forces kama Kimbunga, Mafuliko, Joto kali au Baridi, Hewa ya sumu nk.

Hapo panahitaji akili kubwa kidogo

Hii ndio maana ya Nadharia ya Omnipotence.

Unapomtathimini Mungu usimtathimini kwa Udhaifu wa kushindwa jambo fulani.

Ndio maana Mungu anaitwa
ALMIGHTY, angalia neno Almighty kwenye kamusi yako yoyote ile.

Kushindwa ni Sifa ya Viumbe yaani vitu, watu, wanyama, Roho, vilivyo umbwa au kutengenezwa.
Sifa ya viumbe ni pamoja na Kufa, Kuharibika, Kuchoka, Kudhohofika, Kuhitaji, nk.

Aliyeulizwa hilo swali hilo amekosea, hilo swali haulizwi Mungu bali viumbe vingine kama Binadamu.
Huwezi kuulizwa swali kama

Je Mungu anakula chakula gani ?
Swali hilo haliulizwi kwa Mungu kwani Mungu sio Binadamu hadi awe na njaa ya kuhitaji kula ili aishi.
Lakini hali hii haimzuii Mungu Kula chakula chochote akipenda yeye kula.

Walionielewa Shangilieni, Mshangilieni Mungu kwa kuwawezesha kuwepo.
 
Huyu huwa anataka kutumia logic kizungumza ishu za dini nimeamua kutumia mfano ambao umebase kwenye logic ya law of non-contradiction anasema mungu hafungwi na logic cha kushangaza swali lake limemfunga mungu kwenye logic ya law of contradiction kwa maana jibu lolote ambalo utatoa utalimit uwezo wa mungu nimejaribu kumfafanulia hiyo classical logic hataki basi na hili swali halifai kwa sababu limebase kwenye logic. Ni shida Sana kuendelea kubishana na MTU wa hivi.

Kweli kabisa hata Paulo katika 1 Kor 15: 1 - 58 anaongea juu ya logic ya ufufuo. Anaeleza ukweli wa ufufuo kwa hoja za kutosha. Anatumia hata kielelezo cha mbegu inayopandwa hatimaye kufa na kuchipua tena. Sura hiyo yote nikikuunga mkono ametumia logical syllogism. Wengine huiita Socratic Method. 1. (KWELI A) Mungu pekee ndiye anayeumba. 2 (KWELI B) Yesu alishiriki kuumba ulimwengu 3 (KWELI Itokanayo na A na B) Hivyo Yesu ni Mungu..

Ni kusema pia:

1. Yesu alikuwa mwanadamu.

2. Yesu alikufa akafufuka akawatokea wengi.

3. Wanadamu kama mwanadamu Yesu, watakufa na kufufuka.
 
Tatizo kubwa ni kwamba Kama wanadamu hatujui uwezo wa Mungu YHWH of Hosts ndio maana watu wengi wanakuwa na Mashaka. Kwa jinsi Mungu YHWH of Hosts alivyo MKUU hata hivi Vitabu vyetu vya Imani tunavyotumia havijampa sifa inavyostahili, Havijaonyesha UWEZO wake inavyostahili na sioni ni jinsi gani kitabu kilichoandikwa na mwanadamu Kibinadamu kikampa Mungu YHWH of host sifa za UUNGU alio nao.
Tafuta The Book of Hanok itakupa picha Jinsi Mungu YHWH of host Alivyo MKUU japo kidogo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom