Recent content by Ulusungu

  1. U

    JamiiForums Tanzania Maoni ya wananchi: Suluhu ya msongamano wa magari jijini Dar es Salaam

    Kujua Tatizo ni mwanzo mzuri wa kupambana nalo,Foleni husababishwa na nini iwe ndiyo hatua ya kwanza katika utatuzi wake. Kuna sababu nyingi sana zinazo sababisha foleni,kubwa ni uendeshaji mbaya wa madereva wenyewe,nyingine ni matumizi mabaya ya alama za barabarani,nyingine ni miundominu...
  2. U

    JamiiForums Tanzania TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

    Licensed Tapeli-EDMUND SOSPETER KAPAMA
  3. U

    JamiiForums Tanzania TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

    My God !!! Sasa naamin kuwa hii kesi ni Movie ya polisi,Huyu Edmund Kapama ni Polisi informer,kwa maana hiyo amewekwa kama ni mmoja wa wachezaji kwenye hii movie ili wamkomoe kijana JM. This is pure mafian,Shame on our policemen
  4. U

    JamiiForums Tanzania On Ndulu: The "Guardian" must be kidding me!

    Tuwaombee wapone ugonjwa unaowakabili wasomi wengi wa kiafrika,Wanajua kukopi sawa inapofika kupaste madudu,Ndullu ni prof.mtanzania Mwafrika,hata kama amezaliwa kwenye fanilia tajira kiasi gani hawezi kukwepa ukweli wa wale waliokuwa wanamzunguka wakati anakuwa kwenye utajiri wa familia...
  5. U

    JamiiForums Tanzania US Weapon Test Aimed At Iran Caused Haiti Quake

    Nakubaliana na hiyo ripoti,nafikiri iliandaliwa kwa ajili ya sikukuu ya wajinga imetolewa mapema..not bad
  6. U

    JamiiForums Tanzania Orijino Komedi: Kwa faida ya nani?

    Hii nini ? wivu au ? sijaona nini cha kustahili kuitwa unafika kwenye waraka wenye hoja murua kama wa Shigongo kwa watu wote kwa ujumla na orijino komedi kipekee,ni vema kama una hoja na Shingongo itoe tuione kuliko kupinga nata kizuri ilimradi kimetolewa na Shigongo. Ni vema kuwasaidia hawa...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Executive Outcomes, its offshoots, & the Scramble 4 Our Resources

    Mkuu mwanakijiji naomba nikupe pongezi zangu kwa hoja zako nyingi ambazo nikizisoma sincerely naelewa namna ulivyo na dhamira njema na uzalendo kwa nchi yako,naamini sauti yako haitapoketea bure, Swala la ufisadi wa wazungu ni wazi ni mafisadi wakubwa sana, ila wametuzidi kitu kimoja,wazungu...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Je, unawajua CROWN AGENTS?

    Kupiga vita ofisadi kunategemea sana dhamira ya waTZ na si uwezo wa mafisadi na mtandao wao.Ufisadi unaweza shindwa na kuondolewa kabisa ili mradi watu waoga kama GT either wanyamaze kimya au wanyamazishwe then waTZ wenye uchungu na rasirimali za taifa hili wapaze sauti zao,haihitaji bomu wala...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Ninapojiuliza kuhusu waafrika na kuumia sana

    fanya jaribio kwa family member wako kama ifuatavyo.nunua kopo la dawa ya mbu peleka nyumbani halafu fuatilia matumizi yake,baada ya hapo muulize mtumiaji namna ya kutumia na amejuaje...?utashangaa na maandishi yote yaliyozunguka kopo la dawa hajawahi kuyasoma wala haoni sababu ya kuyasoma. pili...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Tumeuza Uhuru Wetu na Hazina yetu tumeifuja!

    Hongera sana Mchungaji kwa ujumbe mzito kwa watanzania binafsi na waafrika wote kwa ujumla,ni ujumbe mzito sana na wa maana sana kwa kizazi hiki tatizo kubwa kwa watanzania tulio wengi ni uvivu wa kufikiri na kutafakari hata mambo yaliyo muhimu si kwa taifa na jamii bali hata kwa mtu...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Barua ya Sakina ya kujiuzulu hii hapa

    Demotion ilitokana na piece ya balozi wa Palestina,labada tungeangalia article ya hyo balozi inazungumzia nini ndiyo tuone wapi Mzee Mengi alipotoka,otherwise kumlaumu Mzee mengi kama ana ties na Israel kwenye biashara zake huku gazeti lake likiandika makala zinazohatarisha mustabali wa Israel...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Mashoga WAISHTAKI Tanzania UN

    Mjadala utakuwa ni mgumu kwa kuwa mashoga wana dhamira ya kushinda na wapingaji vivyo hivyo,kwanini watatetezi wa mashoga wanaegmia sana kwenye haki za binanadamu kana kwamba haki ni kwenye ushoga tuu,Mbona hakuna uhuru wa kunywa gongo wakati inamdhulu mtumiaji anayetumia kwa mapenzi yake, Mko...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Mashoga WAISHTAKI Tanzania UN

    kwanini mnaishi maisha ya woga na kujificha ?????
  14. U

    JamiiForums Tanzania Polisi wapigwa kama wezi, wanusurika kuchomwa moto!

    Bado hata wahalifu wakikamatwa kwenye tukio 'INNOCENT TILL PROVEN GUILTY' Justice itakuja tengamaa mpaka pale kuna wale ambao sheria itawaona kama ni 'GUILTY TILL PROVEN INNOCENT' Ingawa nafikiri kwa kiasi fulani trafic offence madereva ni Guilty till proven innocent,kwani haijarishi mazingira...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Polisi wapigwa kama wezi, wanusurika kuchomwa moto!

    Naomba tafsiri ya kujichukulia sheria mkononi,Sababu mtenda kosa anafanya kinyume na sheria, akitendewa kinyume na sheria inaibuka hoja ya kujichukulia sheria mkononi. Kwangu kichina naomba msaada nieleweshwe...
Back
Top Bottom