Hauna madhara kivipi? Kwanini watu waishi maisha ya woga na kujificha bila sababu maalum?
Haya si mambo ya dunia ya kwanza, bongo yapo na kila mtu anajua.
kwanini mnaishi maisha ya woga na kujificha ?????
Hauna madhara kivipi? Kwanini watu waishi maisha ya woga na kujificha bila sababu maalum?
Haya si mambo ya dunia ya kwanza, bongo yapo na kila mtu anajua.
Mjadala utakuwa ni mgumu kwa kuwa mashoga wana dhamira ya kushinda na wapingaji vivyo hivyo,kwanini watatetezi wa mashoga wanaegmia sana kwenye haki za binanadamu kana kwamba haki ni kwenye ushoga tuu,Mbona hakuna uhuru wa kunywa gongo wakati inamdhulu mtumiaji anayetumia kwa mapenzi yake, Mko wapi wapigania haki za binadamu kuwatetea wanywa gongo wanavyonyanyaswa kwa kutumia kile wakipendacho lakini kwenye ushoga mmenyenyua bendera juu...
kwa mujibu wa BBC leo asubuhi,, mashoga kusini mwa jangwa la sahara wana maambukizi ya Ukimwi mara 10 zaidi ya wanaofanya mapenzi kwa njia za kawaida....na hii, kwa mujibu wa watafiti, inasababishwa na ile hali ya wao kujificha ficha kwa sababu hawakubaliki katika jamii
sasa kwa kusema ivo sijaunga mkono uhalalishaji wa ushoga...
Ama kweli hii globalization inatupeleka pabaya. Jamani watanzania wenzangu inatupasa kuwa na uwezo wa kuchambua chuya na mchele jamani. Kwa nini hatujifunzi kuiga yaliyo mazuri na yenye faida kwetu? Haya ya haki za mashoga yatatufikisha wapi? Mimi nafikiri ni vema hawa watu wa haki za binadamu wakawa na kipengele cha uhiari wa nchi fulani katika jambo fulani sio kwa kuwa jambo linakubalika duniani kote basi na nchi kama nchi lazima ilikubali, maadili yetu tunayaweka wapi? Mf. Kama ushoga unakubalika Ufilipino si lazima ukubalike Tanzania so shirika la haki za binadamu halina haki ya kuilazimisha Tanzania kuwapa mashoga haki!!
Ah sijui hata kama nimeandika kinachoeleweka!
Mimi nadhani sio sahihi kusema kuwa globalisation ndio inayoleta haya. Yalikuwepo hapa petu kabla ya hiyo globalisation. Nakumbuka kwenda Tanga mara ya kwanza mwanzoni kabisa mwa miaka ya 90 na alikuwepo shoga maarufu kwa jina la "Aunt Mudi" alidumu kwa muda mrefu hadi umauti uliponkuta alipokutana na wajeshi wa kimarekani waliokwenda kufanya mazoezi ya kijeshi Tanga miaka ya 2000. Hili limeendelea kuwepo na idadi imeongezeka siku hadi siku! [/QOUTE]
Nono nilikuwa namaanisha hizi movement za kudai haki za mashoga. Ni kweli kuwa ushoga ulikuwapo tangu zamani lakini kusimama hadharani na kudai haki ni matokea ya kuona/sikia kuwa nchi flani mashoga wanadai haki zao na ni kitu cha kawaida otherwise ingebaki kisiri siiri kama ilivyokuwa mwanzo!
Ndani ya JF na Tz sikuhizi tG sio kampuni ya simu selula tena. Kama unakuwa mpenzi wa tG, sio wote wanayo (wa kiume na wa kike). Hii inaonyesha mambo yanaendelea kushika kasi kweli kweli.
Hapa tutawajua wengi, Mkuu tutajuaje kama wewe si mtetezi wa haki za Mashoga? Duuu this is too pathetic to take.....
Hauna madhara kivipi? Kwanini watu waishi maisha ya woga na kujificha bila sababu maalum?
Haya si mambo ya dunia ya kwanza, bongo yapo na kila mtu anajua.
Kwani ukiwa unatumia ya jinsia tofauti nayo ni kosa?
Yaani unaendeleza libeneke la opposite wako sioni kama nikosa unakula kote kote tu kama kawa unajiexpress lakini hii ya magay mmmmmh chafu sipendi hata kuyaona.
Nono nilikuwa namaanisha hizi movement za kudai haki za mashoga. Ni kweli kuwa ushoga ulikuwapo tangu zamani lakini kusimama hadharani na kudai haki ni matokea ya kuona/sikia kuwa nchi flani mashoga wanadai haki zao na ni kitu cha kawaida otherwise ingebaki kisiri siiri kama ilivyokuwa mwanzo!
mada imepata watetezi kiasi hiki? Huyu julius kyaruzi ni member wa jf au mtu tofauti na huyu anaelilia haki za ushoga?.hapa tutawajua wengi, mkuu tutajuaje kama wewe si mtetezi wa haki za mashoga? Duuu this is too pathetic to take.....