TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

Hadi tunakwenda mitamboni, Kapama alikuwa amepewa dhamana, ambapo Muro na Mgassa walikuwa bado wakihangaikia suala hilo.

MWANDISHI wa habari wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Jerry Muro, amepandishwa kizimbani na wenzake wawili ambao ni Deogratius Mgassa (35) na Edmund Kapama (52) ambapo wamesomewa mashitaka matatu yafuatayo:

Kukusudia kuomba rushwa, kula njama za kutenda kosa na kujifanya maafisa wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), kosa linalowahusu Kapama na Mgassa.
 
Kesi hii si ndogo kwa JM! Nimesoma mahali dogo naye si msafi kiasi hiki.......huenda pingu na bastola alikuwa anatishia wadau wamkatie kidogo dogo. Ngoja tusubiri mwendelezo wa kesi mashtaka na upande wa utetezi.

Bht mimi mnunuzi......nifike bei? ila bidhaa used hapana

haya hapo kwenye bold.....hakuna aliye msafi sawa!!! sisi tunataka waprove hiyo case beyond watever they say in law na watoe maamuzi ya haki....hivi makosa yamekuwa watered to 'kushawishi ' kupewa rushwa tu eeeh???

hamna pingu (shukrani kwa MMK alitu-alart wengine juu ya matumizi zaidi ya yale tuliyokariri) wala bastola hapo....

BTW: Fika bei fasta kabla hommeboy wako hajaamka basi)
 
Nimepewa PM kuwa ni used.....am out!

Kwa maana hiyo kwa kuwa hakuna aliye msafi sheria ziendelee kutoheshimiwa? Tanzania nchi ya amani mapingu na bastola ya nini lakini .....nakosa jibu kabisa. Naomba mahakama itende haki
 
Noted.

yes, wanatakiwa waprove beyond reasonable doubt! au sio B!
 
nani kakwambia hii njii ya amani!!! we unaielewaje amani kwani?? that hatujaingia msituni kupigana so tuna amani??!!!!

sheria ipi hapo haijaheshimiwa Masa?? JM anamiliki chamoto kihalali I suppose ndo maana hakuna charges kwa hilo, pingu kadhalika wameshindwa kum-nail kwa hilo. the only one wamebaki nayo ndo ya rushwa....poor wakurupukaji wetu!!!

Hata mimi will be pleased mahakama itakapotenda haki (.........hapa utajaza mwenyewe)

BTW: hayo ya kuambiwa unayathibitishaje??? sahuri yako
 
Noted.

yes, wanatakiwa waprove beyond reasonable doubt! au sio B!

haswa b!!!!!!!!!! na hapo mbona umeweka red vipi kwani!!! u think i can betray my msukuma???? no way!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
nani kakwambia hii njii ya amani!!! we unaielewaje amani kwani?? that hatujaingia msituni kupigana so tuna amani??!!!!

sheria ipi hapo haijaheshimiwa Masa?? JM anamiliki chamoto kihalali I suppose ndo maana hakuna charges kwa hilo, pingu kadhalika wameshindwa kum-nail kwa hilo. the only one wamebaki nayo ndo ya rushwa....poor wakurupukaji wetu!!!

Hata mimi will be pleased mahakama itakapotenda haki (.........hapa utajaza mwenyewe)

Hivi kuna watu wamesema kuna Fuso ipo tayari kabisa kumhamisha mkubwa eeh?
 
Huyu Huyu Pinda alitwambia Watanzania kwamba mafisadi wa EPA ni matajiri wakubwa nchini wakikamatwa nchi itawaka moto. Leo, amekuwa mstari wa mbele kupigia debe fast track ya uchunguzi kuhusu Muro! Sheria za Tanzania kweli zinawalinda Matajiri.

~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*

PM Pinda directs investigations into Muro`s extortion claims fast-tracked

By Felister Peter

5th February 2010

Mwema(7).jpg

Inspector General of Police (IGP), Said Mwema

Prime Minister Mizengo Pinda has directed the Inspector General of Police (IGP), Said Mwema, and the Ministry of Home Affairs to quicken investigation into extortion claims against TBC1 journalist, Jerry Muro.
Responding to a question from Leader of the Opposition Camp in Parliament Hamad Rashid Mohamed, during the direct questions to the Prime Minister, Pinda said that every human being has their own weaknesses, adding that journalists cannot be excluded.
"Every human being has their own weaknesses, and journalists cannot be excluded. The truth about corruption allegations facing Muro will be known after completion of ongoing investigations," said Pinda.
He said that he wasn't satisfied with the manner in which the whole issue was treated from the beginning, saying everything was blown up in the media at an early stage, adding that the matter should have been thoroughly investigated first.
"I have directed responsible authorities to ensure that, the corruption scandal facing Muro is fast tracked. It's my hope that the matter will be solved within a short time," the Premier said.
Muro was arrested by police last Sunday over allegations of trying to solicit a 10m/- bribe from former Bagamoyo District Council accountant Michael Wage.
Wage was himself under investigations by government organs following his suspension, alongside four other senior officials, by Prime Minister Mizengo Pinda last month over embezzlement of 900m/-.
The police have since arrested other two suspects, Deodatus Mgasa and Edmund Kapama, who are alleged to have teamed up with Muro to extort money from Wage.
Dar es Salaam Special Zone Commander, Kova has said, the two suspects would appear in court soon, but the Attorney General would decide whether or not to charge Muro.
Muro was the over-all winner of the Media Council of Tanzania (MCT) Journalist of the Year awards for anti-corruption reporting in 2009.

SOURCE: THE GUARDIAN
 
haswa b!!!!!!!!!! na hapo mbona umeweka red vipi kwani!!! u think i can betray my msukuma???? no way!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!![/QUOTE]

Now you have made me think!

Okay turudi kwen mada....JM kimsingi hakuna chaji ya maana. Bisha?
 
BAK nadhani Pinda alikuwa akimaanisha kuwa uchunguzi ufanyike ili ukweli ujulikane kama kabambikiwa kesi au la!
 
haswa b!!!!!!!!!! na hapo mbona umeweka red vipi kwani!!! u think i can betray my msukuma???? no way!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!![/QUOTE]

Now you have made me think!

sibishi wala nini, hovyo hovyo tupo hapo aaaaaaaaaaaaah ngoja wenyewe ma-learned proffession waseme. mi sioni kitu bwana B (afu nimekumis nashangaa wat z nt happening, bado nipo kibwabwa kabla hujapanda kwao Goeff so unaweze kunipitia tuende wote makambako)

Okay turudi kwen mada....JM kimsingi hakuna chaji ya maana. Bisha?
 
huwa naichukulia jf ni yetu wote, so kusema 'huyo mwakilishi wenu' badala ya 'mwakilishi wetu' sidhani kama ni lugha nzuri. Anyway, ngoja niendelee kulitafuta duka la pingu huku, nadhani nimepotea mtaa mmoja.

sorry my dear sinkala i must admit ma mistake ..nilikuwa nimekasirika kidogo ndo maana nikajikuta hata lugha imebadilika

polisi wana uwezo wa kukamata mtu yeyote anayevunja sheria za nchi hawana mpaka,kinachozingatiwa ni ushahidi wa kutosha.
Ndugu yangu, nimezungumza kumfikisha mahakamani kwa kosa la kuomba rushwa. kama unayosema ni sahihi, mbona wameenda na maafisa wa TAKUKURU?
 
My God !!! Sasa naamin kuwa hii kesi ni Movie ya polisi,Huyu Edmund Kapama ni Polisi informer,kwa maana hiyo amewekwa kama ni mmoja wa wachezaji kwenye hii movie ili wamkomoe kijana JM.
This is pure mafian,Shame on our policemen
 
Eheee hebu sema kwa sauti kubwa bana maana hili nalo neno ehee!!
 
Back
Top Bottom