Ninapojiuliza kuhusu waafrika na kuumia sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ninapojiuliza kuhusu waafrika na kuumia sana

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by The Native Son, Aug 1, 2009.

 1. The Native Son

  The Native Son Member

  #1
  Aug 1, 2009
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 87
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  For those of you who heard it, this is the article Dee Lee (of CFP Harvard Financial Educators) was reading in a morning, January 2009 on a New York radio station. For those of you who didn't hear it.


  Dee Lee, CFP Harvard Financial Educators


  THEY ARE STILL OUR SLAVES. We can continue to reap profits from the Blacks without the effort of physical slavery Look at the current methods of containment that they use on themselves: IGNORANCE, GREED, and SELFISHNESS.

  Their IGNORANCE is the primary weapon of containment. A great man once said, "The best way to hide something from Black people is to put it in a book." We now live in the Information Age. They have gained the opportunity to read any book on any subject through the efforts of their fight for freedom, yet they refuse to read. There are numerous books readily available at Borders, Barnes & Noble, and Amazon.com, not to mention their own Black Bookstores that provide solid blueprints to reach economic equality (which should have been their fight all along), but few read consistently, if at all.

  GREED is another powerful weapon of containment. Blacks, since the abolition of slavery, have had large amounts of money at their disposal. Last year they spent 10 billion dollars during Christmas, out of their 450 billion dollars in total yearly income (2.22%).

  Any of us can use them as our target market, for any business venture we care to dream up, no matter how outlandish, they will buy into it. Being primarily a consumer people, they function totally by greed. They continually want more, with little thought for saving or investing.

  They would rather buy some new sneaker than invest in starting a business. Some even neglect their children to have the latest Tommy or FUBU, And they still think that having a Mercedes, and a big house gives them "Status" or that they have achieved their Dream.

  They are fools! The vast majority of their people are still in poverty because their greed holds them back from collectively making better communities.

  With the help of BET, and the rest of their black media that often broadcasts destructive images into their own homes, we will continue to see huge profits like those of Tommy and Nike. (Tommy Hilfiger has even jeered them, saying he doesn't want their money, and look at how the fools spend more with him than ever before!). They'll continue to show off to each other while we build solid communities with the profits from our businesses that we market to them.

  SELFISHNESS, ingrained in their minds through slavery, is one of the major ways we can continue to contain them. One of their own, Dubois said that there was an innate division in their culture. A "Talented Tenth" he called it. He was correct in his deduction that there are segments of their culture that has achieved some "form" of success. However, that segment missed the fullness of his work. They didn't read that the "Talented Tenth" was then responsible to aid The Non-Talented Ninety Percent in achieving a better life. Instead, that segment has created another class, a Buppie class that looks down on their people or aids them in a condescending manner. They will never achieve what we have. Their selfishness does not allow them to be able to work together on any project or endeavor of substance. When they do get together, their selfishness lets their egos get in the way of their goal Their so-called help organizations seem to only want to promote their name without making any real change in their community.

  They are content to sit in conferences and conventions in our hotels, and talk about what they will do, while they award plaques to the best speakers, not to the best doers. Is there no end to their selfishness? They steadfastly refuse to see that TOGETHER EACH ACHIEVES MORE (TEAM). They do not understand that they are no better than each other because of what they own, as a matter of fact, most of those Buppies are but one or two pay checks away from poverty. All of which is under the control of our pens in our offices and our rooms.

  Yes, we will continue to contain them as long as they refuse to read, continue to buy anything they want, and keep thinking they are "helping" their communities by paying dues to organizations which do little other than hold lavish conventions in our hotels. By the way, don't worry about any of them reading this letter, remember, 'THEY DON'T READ!!!!


  Tafakari:
  1. Ni kweli ndivyo jinsi waafrika walivyo?
  2. Na kama sivyo, je wako vipi?
  3. Na sifa zilizotajwa ni za waafrika kweli?
  Ndugu,
  Naumizwa na mambo mawili hapa, kwanza kama yaliyosemwa ni sahihi dhidi ya waafrika maana ni aibu kubwa. Pili kama ni mtazamo tu wa aliyeyasema maana ni dharau kubwa. Nisaidie ndugu zangu waafrika wako upande gani?
   
 2. U

  Ulusungu Member

  #2
  Aug 1, 2009
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  fanya jaribio kwa family member wako kama ifuatavyo.nunua kopo la dawa ya mbu peleka nyumbani halafu fuatilia matumizi yake,baada ya hapo muulize mtumiaji namna ya kutumia na amejuaje...?utashangaa na maandishi yote yaliyozunguka kopo la dawa hajawahi kuyasoma wala haoni sababu ya kuyasoma. pili jaribu waulize family member wako kama wanazijua fedha za tanzania,waulize zina maandishi gani,sana sana atakusomea na kama ni muungwana atakuambia ukweli kuwa hajawi soma maandishi ya kwenye hela. Ni kweli sijui ni laana gani waafrika hawataki kabisa kusoma, na kama anasoma gazeti atakuwa anasoma tamthilia au udaku. lakini si yale mambo , uchumi,siasa,technologia wala elimu mbalimbali,hata yahusuyo afya yake.
  Naomba nisisitize kuwa huyo aliyeandika hapo ameandika ukweli mtupu.INAUMA SANA...
   
 3. The Native Son

  The Native Son Member

  #3
  Aug 1, 2009
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 87
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Asante kwa ushauri ndugu, nitafanya utafiti huo kwa kiwango cha familia. Na je hizi sifa zilizotajwa, "IGNORANCE, GREED and SELFISHNESS", ni za waafrika kweli?
   
 4. Alnadaby

  Alnadaby JF-Expert Member

  #4
  Aug 1, 2009
  Joined: Sep 28, 2006
  Messages: 507
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hii ni aina mojawapo ya kudharau race za watu wengine.Ina maana hakuna wazungu wenye tabia kama zinazotajwa humo.Kwa mfano ni Wazungu wote wanasoma sana vitabu?
  Mi naona huu i ushenzi wao hawa wazungu basi.
   
 5. Abunwasi

  Abunwasi JF-Expert Member

  #5
  Aug 1, 2009
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 3,166
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  Mimi sitakupa jibu la hili isipokuwa nitakuuliza masuali ambayo unaweza kujaza majibu.
  1 Hebu tuangalie wenzetu walioukata hapa nchini wanavyo nunua magari hadi ya $200,000 kwenye nchi maskini yenye barabara mbovu inaashiria nini?
  2. Angalia kwenye sehemu za starehe wenzetu hawa wanapoweza kutumia hadi laki 5
  kwa usiku mmoja inaashiria nini?
  3 Angalia hata wafanyakazi ambao wanalipwa vizuri idadi ya vimada na nyumba wanazo wapangia hao warembo wakati vijijini kwao watu hawana hata maji safi inakuaje?

  4. Angalia wenzetu wenye nazo kwenye michango ya hadhara ambapo luninga ziko live wanavyo pledge kiasi kkiokubwa cha pesa lakini kwenye michango ya aina hiyohiyo ambayo haiko hadhiri kwenye public hawachangi kabisa inakuaje?

  Angalia jamii inayotuzunguka jinsi mambo tunayoyafanya halafu refer kwenye subject matter utapata jibu
   
 6. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #6
  Aug 1, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Kwanini inauma?!


  Hakuna uwezekano aliyeandika akawa si mzungu?
   
 7. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #7
  Aug 1, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Ikiwa waafrika wako hivyo inavyoelezwa, una mashaka kwamba wewe pia itakuwia vigumu kubadilika? (Tuchukulie kwamba nawe huna kawaida ya kusoma)
   
 8. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #8
  Aug 1, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Kwa maoni yangu, hatuwezi kuchukua hatua au kupiga hatua moja zaidi mbele tukiangalia mambo kwa ujumla wetu tukiendelea kutumia maneno WAtanzania, WAafrika. Kwa kufanya hivyo ni kutafuta kujifariji tu.

  Wewe na walio kwenye familia yako huwa mnajisomea?
  Kwa wiki mnatumia saa ngapi kusoma, na saa ngapi kuangalia TV? Ndivyo ambavyo ungependa muendelee kufanya?

  Kwamba mzungu naye anafanya au hafanyi, tuliweke pembeni kwa wakati huu.
   
 9. The Native Son

  The Native Son Member

  #9
  Aug 1, 2009
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 87
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15

  Nasoma vingi mkuu japo si vyote, nashindwa jinsi ya kuchukulia kwamba sina tabia ya kusoma au ninakopenda kukuita kujisomea, maana hoja ya kubadilika siioni kwangu kwa kuwa hakuna cha kubadilika kwangu kuhusu tabia hiyo ya kupenda kujisomea. Labda nijiulize kama watu wananafasi ya kubadilika? Bila shaka ningesema NDIYO nafasi wanayo ila ugumu wa mabadiliko sina uhakikanao.
   
 10. The Native Son

  The Native Son Member

  #10
  Aug 1, 2009
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 87
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Naikubali hoja ya kuchukulia mambo kwa ujumla si ya msingi sana mara nyingi ni vema kujitafakari mmoja mmoja kwanza na michango yetu kwenye yale yanayozungumzwa dhidi yetu katika hali ya ujumla.

  Kingine nikujiuliza kwa mtazamo wa tunachofanya ni sahihi na kina manufaa gani ila si kwa misingi ya kinafanywa na nani awaye yeyote chini ya jua, mzungu, muhindi, muarabu, mchina na wote.

  Nimeandika vitu kwa ujumla kwa kua mwandishi wa 'article' niliyoambatanisha amejaribu kuchukua kwa ujumla kuwa waafrika ndivyo walivyo. Nilipoisoma nikaajiuliza na kujitafakari mimi mwenyewe kwa muda sasa nikagundua siko hivyo na nilipoileta mbele yenu labda wanaJF wanaweza kuwa na taarifa zaidi za kitakwimu au vinginevyo basi waniondolee maswali ninayojiuliza kuhusu waafrika linapokuja swala la ujumla wao.
   
 11. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #11
  Aug 1, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Generalization huleta matatizo wakati mwingine, inategemea jinsi ilivyosemwa (how, rather than what was said).

  Article uliyoiweka hapo mwanzo nimeipenda jinsi ilivyoandikwa. Malengo yake pia nimeyapenda, maana yamelenga kujenga. Wengine haitawasaidia, hata hivyo, sidhani itawadumaza fikra.

  The article is good.
   
 12. The Native Son

  The Native Son Member

  #12
  Aug 3, 2009
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 87
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Nimefurahi kuona tunajadili maudhui ya kitu chenyewe yaani ujumbe uliomo na si hisia zetu tu. Sasa cha muhimu zaidi ni kufahamu kama waafrika ndivyo walivyo au ni mtazamo tu wa mwandishi?
   
 13. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #13
  Aug 3, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  ukweli ni kwamba kuna kasoro flani kati yetu waafrika wengi ambayo ni vigumu kuikiri. waache watuseme vibaya kwani tunastahili hayo. huyo mtu hajaongea kwa bahati mbaya, ni utafiti uliofanyika. I think God was/is subjective as far as mankind is concerned
   
 14. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #14
  Aug 3, 2009
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hao ndio wazungu tunao washibikia!Tukiambiwa hatusikii.As they CLEARLY say,information is available everywhere for us to know what they are doing against us,lakini tukiambiwa tunasema ni conspiracy theories.Maskini sisi, it is too late,KAZI WAMESHAIMALIZA.

   
 15. The Native Son

  The Native Son Member

  #15
  Aug 3, 2009
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 87
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15

  Na je vipi kama tukiachana na swala la kuhusu nani ameandika na nani anawasema vipi waafrika na tuangalie uhalisia wa lililoandikwa, je hivi ndivyo waafrika walivyo?
   
 16. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #16
  Aug 3, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,406
  Trophy Points: 280
  Dumb Africans far outweigh the smart ones.
   
 17. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #17
  Aug 3, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Naona mtu mmoja kaja na some hoax literature wasio na upeo wanakuja na self loathing innuendos.Hizi tunazijua, zipo kwa weakhearts wote, hata wazungu wapo self loathing, ila afadhali wao wana justification za ubaya wa wazungu wenzao, lakini hakuna cha ku justify self loathing.

  Katika waafrika hakuna wabaya? Of course wapo.Waafrika ni wabaya/ wajinga naturally? Of course not, mtu mbaya/mjinga tu ndiye anayeweza kufanya hii gross justification. Hapa kuna saratani ya uvivu wa kufikirin a haraka ya kupatia maswali mazito majibu rahisi, maswali ambayo hata volumes za pages 500 haziwezi kuyafanyia justice yanakuwa dismissed na vimisemo mbuzi vilivyoself defeating na pessimistic kama "Waafrika Ndivyo Tulivyo".Vimsemo vyenye generalization zinazo suggest kwamba matatizo yetu waafrika wote yapo katika DNA zetu, bila kuangalia geografia, historia na mambo mengine mengi.

  Sitaki ku sound kama apologist wa incompetency inayofanya Afrika kubaki nyuma ya -wachilia mbali ulaya ambayo kujilinganisha hakutakuwa sawia, bali hata nchi kama Korea Kusini na Pakisatan Malaysia, ambazo tulikuwa nazo sawa wakati wa uhuru-.Matatizo yetu Afrika ni uongozi, na kama kuna kitu kimoja wananchi wa Afrika tunaweza kubeba lawama ni kuuruhusu uongozi mbovu huu kuendelea.

  Lakini unaposema "kuuruhusu" mara nyingine unakuwa kama vile una mlaumu mhanga, kwa maana tulipopata uhuru Africa ilikuwa vastly un-urbanized, vastly underemployed, vastly illiterate, kwa hiyo tulitengeneza ka class kadogo tu ka watawala waliokuwa wanajitwalia "matunda ya uhuru" na kuwaacha wengine wote kwenye umaskini mkubwa -ikiwa ni pamoja na kuwakosesha elimu na hudumajamii zote bora- kwa hiyo kuwalaumu watu hawa ambao hawakuwa na elimu wala nguvu za kisiasa inakuwa si sawa.

  Ndiyo kwanza tunapata muamko wa kisaiasa wa kweli kudai accountability kutoka hii second colonialism, ambayo ni ngumu zaidi kuitoa kwa sababu mkoloni ni "ndugu yetu" mweusi, isitoshe katika hao hao wanaojituitumua kupigia kelele wananchi kuna ma false prophets kina Chiluba types kibao.


  I am currently enjoying Richard Dowden's "Africa:Altered States, Ordinary miracles" which seems to reinforce my notion that these problems are far more complex than the idiocracy of "Waafrika Ndivyo Tulivyo" would allow.

  Moja ya matatizo makubwa yanayotukabili waafrika ni kukosa self-consciousness na self-respect itakayoweza kutupa uwezo wa kusimama na kuyakabili matatizo yetu, characteristic mojawapo ni hizi generalizations za kukata tamaa along the lines of "Waafrika ndivyo tulivyo".
   
 18. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #18
  Aug 3, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,406
  Trophy Points: 280
  Sasa hizo ni inborn attributes/traits au ni acquired? Kwa nini "Waafrika" wasiwe nazo na by implication kwa nini let's say wazungu, wanazo?
   
 19. F

  Froida JF-Expert Member

  #19
  Aug 3, 2009
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  mambo yaliypandikwa hapo juu yanaukweli waafrika tunauchoyo mkubwa na umimi angalia mifano yawaliyopata fursa ni wao na ndugu zao tuu,usomaji wa vitabu hata kwa wazungu unapungua sana hasa baada ya mitandao kuingia walikuwa wanasoma kwa ajili ya upweke,
  wao pia ni wachoyo inawezekanaje mtu akaenda kufanya utalii mwezini wakati wengi wanaishi chini ya dola moja si wazilete afrika kwa wavivu wa kufikiri
  waafrika imekuwa nguvu kazi miaka nenda rudi wameepeleka maendeleo kwenye nchi za wazungu hata kama walikuw watumwa

  hakuna nchi ya mwaafrika ilinyanq'anywa kama vile,austraria,newzealand canada,america ya kusini na kazikazini, kwa wahindi wekuundi waafrika sio wajinga hivyo kama wanavyosema,hata hapo afrika ya kusini walidhani watabaki wamewachia waafrika
  bado kitambo kidogo wataona waafrika wanavyokwenda juu
   
 20. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #20
  Aug 3, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Hakuna kitu inborn, ni historical na geo-political reasons tu.Ndiyo maana mimi nakataa hii habari ya "Waafrika ndivyo tulivyo"
   
Loading...