BARAKA TANO ZA PETRO: JANA IMEKWISHA LEO NI SIKU MPYA, KESHO ITAKUWA NJEMA ZAIDI YA LEO.
BARAKA TANO ZA PETRO NA MAANA YA LEO, KESHO NA JANA.
UTANGULIZI
Jana Imekwisha, Leo ni Siku Mpya Kesho Yaweza kuwa Nzuri Zaidi ya Leo.
Huu ni mfulizo wa somo la muhimu sana kwa kila mtu, litakusaidia...
Inawezekana wanajamii wenzangu coz taarifa nyingi watumishi wa serikarini wanazipata kwenye makaratasi hawaendi field hii inasababisha mwanya wa wao kupewa taarifa za uongo
HATA APPLE Aligundua komputa lakini haikutumika mpaka pale BILGET alipogundua MICROSOFT. hivyo hakuna jipya, Yote uyaonayo dunia wapo waliogundua bt sisi twatumia. So stil creat then we do. And remember now TZ need ACTION not planning
UNESCO to intervene thiz issue iz very neccesary coz many issue lk thiz we failed 2 solve in a justice way. I think by them jk wil be shaken and do what the justice want.NATOA WITO KWA MASHIRIKA MENGINE YA KIMATAIFA NA HAKI ZA BINAADAMU
KUINGILIA KATI SWARA HILI
Malecela anadhani siasa ya NYERERE ndio ya sasa. Kumbuka enzi za nccl mageuzi ni enzi za Mkapa generation pindi darasa la saba bado linaheshimika. Bt now educated we are many. Best character of educated man and women iz DEMANDING OF CHANGES
kutofautiana kidemocrasia pindi chama kinaanza ni kawaida kwani wengi hujiunga kwa kasi kwa mategemeo ya kuingiza sera zao sasa mpaka kukusanya sera zote kuzi analysis na kuja kupata kitu kimoja mambo hayo ni kawaida. Hivyo be patient
mimi nadhani wananchi huwa tunatazama utekelezaji na sio Protocal na utaratibu wa utekelezaji na tumezoea sana maneno na kutembelewa kuliko utekelezaji unaoonekana. Hivyo basi kama wataka kujua hatua atakayo ichukua mdee vyema kutembelea ofisini kwake au kuwa na subira. Maana hawez kuja ikiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.