Huu uzi umekaaa kimipasho kabisaaaa sasa kama mnasema tukiwapa nchi itakuwa balaa kwa hiyi tuwaache nyie CCM magamba,wala rushwa,watawala wa kutumia risasi,wateka nyara,waleta dini na kugawa watu,pia gazeti lenyewe sitalilaumu kwa kuwa ndio yale yale ya Kina Bashe Hossein ambaye walitoleana bastola pale Nzega wakigombea uongozi sasa watu kama hawa kweli tuwaache waendelee kuongoza nchi,Kina Kamuhanda,IGP Said Mwema,Shiloli,Chagonja,Kina Nepi,Mwingulu,Livistone,Kikwete hawa wote si ndio wanatumia bastola kuongoza nchi na kuuwa so kweli jamani tuwaache muendeleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee acheni kuongeza mafuta na nazi mleta uzi mwenyewe ndio wale wale Kikwete mwizi namba moja aliowapitia kimipasho kuwa wana viwanda vya uongo so kaka yr the one big up na Gazeti lenu la Rostam Azizi chini ya Bashe.Poleni sana na mwisho wenu 2015.Pia nawapa akiba ya maneno msizidi kutoa mapovuChadema wakichukua nchi hawatawaburuza mahakamani kwani mko wengi sana so mtajaza magereza na kuendelea kutafuna kodi za wanyonge so Chadema watakuwa na kazi kubwa ya kufumua serikali kila kitu so they'll be so much bussy so msitoe mapovu sana kiivyo just cool down na have a time Magamba