Kilewo Aivunja ngome ya Profesa Jumanne Maghebe Maeneo ya Usangi Mwanga Kilimanjaro

bado watakao jivua magamba watakapo toka Dodoma maa nasikia kuna mmoja alishika namba 6 ngazi ya mkoa lakini NEC taifa ameshika namba 1

wajumbe hawajaridhika wakitoka watavua magamba tu

mnasubiri makombo sio?ndio hayo mashibuda hamkomi tu
 
Mtu akisoma heading halafu akiingia ndani anakutana na hawa wahuni wanne hapa anaweza kupasua pc yake kwa hasira
 
vipi huko mwanza na ilemela?mnagombania nini?mnahangaika na mwanga wakati mwanza kunateketea

CCM wameiongoza mwanza kwa miaka zaidi ya 50 bila ugomvi wamefanya nini? CHADEMA inafanya kazi ya kuwaondoa mamluki wa ccm ndani ya chama, ndiyo maana kuna vita!
Wenzetu majirani hapo kenya walipigana hata kwa viti lakini leo tunaona gap waliyotuachia!
 
M4c mpaka ikulu. Jamani waccm thiz iz time of changes in order get 2 tz that we need. Janjaruka then take a card
 
mmechanganyikiwa CHADEMA. HUU NI USANII NA KUJIDANGANYA TU HAKUNA CHOCHOTE. HUWEZI KUVUNJA NGOME YA MAGHEMBHE HUKO HACHA KUFARIJI WENZAKO WASUGUA MASUFURIA HUKO MAREKANI NA UINGEREZA

Kweli ulichosema mkuu. Usisahau pia kuwa huko upareni ndiko alikotoka Kamanda Chagonja (mzee wa kuua kwa vitu vizito na vyenye ncha kali) na Mzee Tendwa!! Ooho! shauri yenu
 
Namjua kilewo vizuri kama ameingia upare ujue hapo hamna CCM itakayopona, anaushawishi wa hali ya juu sana,nimeshuhudia mikutano yake kama minne hivi jamaa kakomaa anauwezo wa kujenga hoja, ni kijana mwenye subira anayependa kujifunza kutoka kwa wenzake, hongera sana mdogo wangu
 
kule nguvu ya kanisa sio kubwa ndio mana

Acha Udini wewe, Kwataarifa yako, Usangi kuna wakristo wengi kuliko unavyodhani,sehemu yenye waislamu wengi ni ugweno, kwasasa mwanga nzima dini zote zimebalance hayo mahesabu yako yamepoteza dira, wapare wasasa siyo wale
 
Ushauri wangu kwa CDM, Vijana kama hawa, waongezeeni nguvu kufikia ukombozi waliyokusudia, Mwanga kiukweli imekuwa ngome ya ccm kwa muda sasa, ila kwasasa hali imekuwa tofauti hasa kwenye kata hizi, kileo kata hii imepakana na vunjo,kivisini,jipe,kigonigoni,kwakoa, toloha,mgaogao(chadema ilipoteza hii kata kwa uzembe wa viongozi wa jimbo hapa ndipo ninapo toka na nilisimamia uchaguzi bila kulipwa wala chadema walikuwa hawajui kwamba wana mawakala)kata nyigine ni Kirya,lang'ata pamoja na ugweno, hizi kata kwasasa zimekaa kiupinzani sasa, maeneo magumu kidogo ni usangi ile siyo yote kwa kifupi tambarare imekaa vizuri kwasasa.
 
Safiii safi sanaaaa!!

Hichi ndio ambacho kila mtu mpenda maendeleo alikuwa anakisubiri sana.

Hao makamanda nawapongeza sana, maana ukombozi kwa wanamwanga umefika sasa.

Kuna jamaa kibao wanaotoka huko ambao wako mbali na mwanga mara walipoziona habari hizi mtandaoni wamefurahi sana na wameapa kuunga mkono harakati zote za ukombozi wa jimbo la Mwanga.

Soon nitafunguka na kumwaga details za kutosha kuhusu siasa za jimbo la mwanga na namna ya Kufanikiwa.
 
Wapare wa usangi ni watu waelewa sana japokuwa ni watu wenye msimamo.

Wengi wao wameshaichoka CCM toka zamani sana, ila waliendelea kuichagua kwa sababu walikuwa hawana chama mbadala lakini walilemazwa na utamaduni wa kuambiwa kuwa maendeleo yao yanaletwa kwa kupendelewa tu(yaani misaada ya kidini na mbunge wao lazima atachaguliwa kuwa waziri ili awabebe)

Lakini kwa kasi ya Chadema kupitia M4C hakuna namna ambavyo CCM inaweza kupona. Kama kuna mtu anabisha asubiri ataona reaction ya ajabu sana kutoka kwa Prof. Maghembe na CCM kuashiria kuwa wamejeruhiwa vibaya na MC4.
 
CHADEMA wanatembea kama kumi wakifika mahali wanasema tunaunja ngome wanapeana vikadi wanavyotembea navyo, MOVEMENT FOR CHAGAN (M4C) on cheap work. Mnakula michango yetu heti mko kazini. Wahuni wanakula visenti vya viraza
 
Back
Top Bottom