Taarifa kwa vyombo vya habari - CHADEMA yakataa wito wa kamati ya Nchimbi

Asante kaka Tumaini Makene, hii habari imetulia, na kama wana masikio ujumbe umefika! Bahati nzuri Mungu amewaziba masikio wasisikie, amewafumba macho wasione ili waendelee kuwachukiza watanzania kwa upumbavu wao!
Kwa ushahidi wote wa matukio ya mauaji ya Iringa, Morogoro, North Mara, Arusha, ni Serikali inayoongozwa na wapumbavu inaweza kuunda tume ya kipumbavu pia kwa kuwahadaa wazalendo!

Big up sana kamanda!
 
Last edited by a moderator:
Huu ndio ujinga mwingine wa jeshi la polisi, kamati ya nini wakati swala liko mahakamani?
Kamati ya nini ambayo haina mamlaka kisheria?
Kamati ya nini ambayo haina uwezo wa kumuwajibisha IGP na Nchimbi?

Kamati ya nini wakati tukio liko wazi?
Huku ni kupoteza na matumizi mabaya ya pesa za walala hoi.

Big up cdm!
 
Waandishi wa habari mnapaswa kuunga mkono tamko hili kwa vitendo.
Theophil Makunga uwepo wako katika kamati hiyo 'ya harusi' ni kubariki uhalifu.

Better late than never,CDM mngesikiliza ushauri na maoni ya watu mapema mngekuwa katika offensive position as opposed to defensive.
 
chagonja hata mungu anamshangaa kwa nini hajiuzuru,maana Aligoma kujiuzuru baada ya mauaji ya mwandishi mwangosi, juzi mkewe kakumbwa na tuhuma za rushwa ya kutafutia kazi watu TISS,,namshangaa chagonja!
 
hongera Chadema kwa kuukataa unafiki.
inashangaza kuona waziri Nchimbi, IGP na RPC hawawajibishwi! kweli nchi yetu ina kiongozi dhaifu.
 
It started with murder and we now have an 'illigal' kamati! Courtesy of the Ministry of Home Affairs!
 
Chadema wamemeza, chambo, ndoano, mshipi na chubwi.

Amma kweli ukistaajabu ya Musa utakumbana na ya Firauni.
 
It started with murder and we now have an 'illigal' kamati! Courtesy of the Ministry of Home Affairs!

huyu jaji ni kilaza kama alivyotabiri Tundu Lissu ameshaanza kutuma barua bila ya kumbukumbu namba na jaji yeyote
makini asingekubali kuunda tume pamoja na watuhumiwa wakiwemo kwa sababu inaondoa uhuru wa tume.

nakwambia matokeo ya uchunguzi utasikia ffu haina kosa bali kosa ni chombo cha kufyatulia bomu.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Kati ya vyama ambavyo huwezi kuvitabiri na maamuzi yake basi chadema imevunja rekodi, pia imevunja rekodi ya kuisimamia misimamo yake mpaka mwisho na kuihakikisha inafanikwa
 
wakati watu wakitakiwa kupelekwa mahakamani na kujiuzulu wao wanataka kutafakari kifo
 
hivi kamati hii haingilii uhuru wa mahakama?


KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
kamati za kipuuzi kama hizi, zinazoundwa na kupoteza kodi zetu zinatia hasira sana! Bora CDM wameipotezea!
 
Back
Top Bottom