Recent content by ubelito

  1. U

    JamiiForums Tanzania Forex ni scam au real?

    Mmeongea sanaaaa ila forex sio wizi ni ww tu usipo kuwa na elimu ya kutosha utapigwa sana sokoni utaona ni wizi nimetrade fx kitambo ila sikuwa na elimu ya kutosha mwaka huu ndio naona matunda kwenye fx baada ya kupata elimu ya kutosha Cha msingi wekeza kwanza kwenye maarifa mtaji sio tatizo...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Narudi tena kuwakumbushaa hii kazi ni hatari sanaa Kamaa unapenda series za madawa ya kulevya utaipenda na hii Kama ulipenda Breaking bad , power na zinginezo hutoacha kuipenda hii jamaa anatumia akili sanaa
  3. U

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Kuna mdau alileta hii kitu hapa abarikiwe sanaa , kama hujaiona kaichek
  4. U

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Mm naiona kali sana kuliko power yenyewe yan
  5. U

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Hatari sanaa iyo kitu mzeee semaa no 2 ndio bado asee
  6. U

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Hii kitu hatari sanaaaa
  7. U

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Kuna huu mzigoo mr walter white wa breaking bad yumo ndani kama starring
  8. U

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Kuna huu mzigo asee unaitwa THE UNDOING The Undoing HBO Series nimekuwa na link ya telegram hapo
  9. U

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Anza money heist
  10. U

    JamiiForums Tanzania Fireboy DML (LTG album) Vs Burna Boy (Twice as Tall) ipi ni Bora?

    Asee nigeria kuna madogo wanaimbaa sana kuna EP ya uyu mkali ni nomaa sana yan kila song umo ni la moto sanaaa sikiliza alafu uje utoe maoni yako
  11. U

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Nimeangalia epsd moja ya Gangs of London inaonesha ni kali sanaa Sent using Jamii Forums mobile app
  12. U

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Na waambia tenaa saiv kaaa tuliaa angalia hii series ni nzuri hutojutia mda wako Sent using Jamii Forums mobile app
  13. U

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Kuna mtu kaangalia sneaky pete??? Aniambie kama ni nzuri niishushe hapa Sent from my iPhone using JamiiForums
  14. U

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Bado Sent from my iPhone using JamiiForums
  15. U

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Kama umekosa kitu cha kuangalia Kwa muda huu Jaribu kuichek ii kitu hutojuta Sent from my iPhone using JamiiForums
Back
Top Bottom