Ni kama ulikuwa katika mawazo yangu mkuu kwani mtu aliyekuwa na cheo kama cha huyu hategemewi kufanya haya.lakini pia mi naona pengine kuna kitu anatumia na kinafanya akili isifanye kazi kwa mwendo wa kawaida maana inaonekana ni kama haziko timamu.
A man had been driving all night and by morning was still far from his destination. He decided to stop at the next city he came to, and park somewhere quiet so he could get an hour or two of sleep. As luck would have it, the quiet place he chose happened to be on one of the city's major jogging...
Ni kawaida kwa miguu(feet) ya binadamu kuwa na sweat glands nyingi na hivyo hutokwa na jasho jingi sana kuliko sehemu nyingine nyingi za mwili.
Kimsingi jasho ni mchanganyiko wa chumvi na maji.Pia ni kawaida kwa bacteria kuwepo juu ya ngozi ya binadamu,kwa hiyo bacteria hawa hula jasho la...
Asante sana mkuu,
Umenipa furaha sana maana Miaka yote nilikaa Sesesco hadi leo hii sikuwahi kujua asili ya jina hilo.
Mkuu Zamaulid
hilo la sister Laura kujitoa duniani kama ni kweli ni habari mbaya sana.mchango wa sister Laura kwa SESESCO ulikuwa mkubwa sana na utakumbukwa daima.
Mkuu hainihitaji kuwa mwendawazimu kumtambua mwendawazimu.ni nini ulichofanyiwa toka uhuru,kama sio ufinyu wa fikra zako tu.sijakukataza kupiga kelele na hapo umesema vema kwamba zako si hoja ila ni kelele,
I'm out.
Umejuiliza ni kwa nini yalipewa onyo zaidi?usijaribu kutupandikizia hisia zako za udini zisizo na kichwa wala miguu hapa.wewe unataka magazeti mengine yapewe onyo bila kujali yamekosea au la?hivi huwezi kuwa na fikra zisizo na ubaguzi wowote?unalalamika upate sympathy hata pasipo na...
pole sana mkuu sipo,
kweli ukizungumzia mafua,hiyo ni kero kubwa kwani hupunguza utulivu wa mtu kwa kiasi kikubwa.
kutokana na maelezo yako ni kweli kuwa kuna uwezekano mkubwa sana mafua yako yanasababishwa na allergy ya vitu fulani ambavyo mara nyingi unakutana navyo hasa inawezekana kuwa vumbi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.