Elvis Musiba wa "Njama", "Kikosi cha Kisasi" ametutoka

Jethro

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
2,219
370
Wana JF,

Kwa wale wote wanao mfahamu ERVIS MUSIBA amefaliki dunia leo huko Dar es salaam na shughuri za mazishi zaendelea

Source ITV
 
Habari zilizorushwa sasa hivi ni kuwa mtunzi maarufu wa vitabu vya upepelezi ambaye alituletea Willy Gamba katika "Njama", "Kikosi cha Kisasi" n.k amefariki leo. Ni kwa huyu na Ben R Mtobwa (Tutarudi na Roho Zetu, Malaika wa Shetani) ndio na mimi nilijifunza kutunga hadithi mbalimbali. Nilimsoma sana na hadi leo huwa natumia moja ya catch phrases zake.. ninaposema "Naenda kumuona Bibi mgonjwa"... Wasomaji wa Njama wanajua namaanisha nini.

Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi Amina.
 
Aisee hii habari imenishtua na imenigusa sana. Huyu mzee nilishawahi kufany anae kazi moja, ana kiche kizuri sana. He is brilliant and a true patriotic. R.I.P Mzee Elvis Musiba.

By the way sasa ndio naanza kuelewa kwamba life expectancy ya Watanzania ni 50 yrs. Manake ukiangalia watu wengi ambao bado wananguvu na wanauwezo ambao wapo katika umri huu ndio wanatutoka. Musiba, Mziray, to name the few...!
 
Dear Musiba, though I know you can not hear me; your books are still alive in my memories.The books you wrote have refused to die with you, I will always remember you for the good works- Njama na kikosi cha kisasa
 
Back
Top Bottom