Mie kuna wakati ninafanya kazi za serikali, kuna kipindi inafika mnataka kuwafikia wananchi kuwaelimisha kuhusu mikakati fulani iliyopangwa.jee kwanini yasinyimwe yote ya dini, na yakapewa yale republic je msemakweli lnasomwa na watu weng? nadhan imefika hatua tujibu hoja.
Hapa ndo huwa viongozi wa dini na vikundi mbalimbali ktk jamii wanashirikishwa, jaribu kufuatilia utaona.
sasa kulingana na bajeti na pia walengwa watakaofikiwa ndo vitu kama misikiti, makanisa wanatumiwa kuwafikia watu mbalimbali. Kama alivyosema mdau hapo juu Jina tu la gazeti lugha yake ieleweke kwa jamii sio sects, kama unakashifu viongozi wa mamlaka na gazeti linapelekwa kama sampuli ili wachague unafikiri watalichagua. Sasa hapo unakuwa umebomoa badala ya kujenga, hutakuwa shirika na watu wa aina tofauti na wewe.