Recent content by twenty20

  1. T

    JamiiForums Tanzania Je, Ni kweli gharama ya kiti kimoja cha uwanja wa taifa ni Tshs. 200,000/=

    Viti hivyo vililetwa toka nje, so gharama ni ya kiti, pamoja na uagizaji
  2. T

    JamiiForums Tanzania Ninunue ipi Toyota Mark X au Crown?

    Crown ndio gari ya heshima. Huko japana ndio gari respectable, na ndio model inayotumiwa na viongozi wakuu
  3. T

    JamiiForums Tanzania Wasanii 10 waliobuma pamoja na kutoa nyimbo kali

    Huku kubuma sio kuzuri kwa wanamuziki wetu, mtu nyimbo zake mbili hivi na ushee zikibuma mfululizo, kinachofuata ana panic, baada ya hapo, ni kuanza kula SEMBE.....
  4. T

    JamiiForums Tanzania Nani mkweli kati ya Wananchi, Serikali na TRA?

    Kuongezeka kwa ni matokeo ya kodi mbali mbali zilizopanda kwa mwaka 16/17
  5. T

    JamiiForums Tanzania Vigogo wawili ATCL wasimamishwa kazi kwa kosa la kumchagua rubani asiye na sifa kusoma Canada

    Ni utaratibu wa kawaida, pilot kurusha ndege mpya unahitaji conversion course, pia kurusha ndege nyingine tofauti na uliyokuwa unarusha unatakiwa kufanya conversion course, ndio maana hapelekwi mtu asie rubani, anachaguliwa ambaye ni rubani tayari. Huu ni utaratibu upo duniani, ni mambo ya...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Msaada kuangalia Copa America

    ZBC2 ni euro final tu
  7. T

    JamiiForums Tanzania Picha za Giggy Money zinaumiza moyo kwa ambao ni wazazi

    Kwa ss wana psychology huyu anasumbuliwa na character ya Exhibitionism
  8. T

    JamiiForums Tanzania Nchi 76 wanazoruhusiwa watanzania kutembelea bila ya viza

    Mmmh si kweli, hii list sijui katoa wapi, nimekwenda ethiopia ukifika Adis wana ku chaji Visa, pale pale Airpot.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Gigy Money: Nimeshatembea na Kiba, Mavoko na Hemed PhD, walinitongoza instagram

    Nati zikilegea si huwa zinachomokaga?
  10. T

    JamiiForums Tanzania Malawi Impound Tanzanian Boat, Arrest 16 - Magufuli Deploying 3 Ships On Disputed Lake Malawi

    Mpaka wa ziwa victoria unapita wapi?
  11. T

    JamiiForums Tanzania Hivi Giggy money ni nani hapa Tanzania?

    Huyu dem alikutana mjeda ney wa mitego, akamchukua kuwa video queen, akampa scene mbaya mbaya, mwisho wa shooting, dem kadai mchongo wake, akaishia kupewa buku 20.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wanaanza kurudi tena upinzani

    Bussiness + Politics = 0
  13. T

    JamiiForums Tanzania Serikali yatenga bajeti Bil 2 kufufua kiwanda kinachohitaji bil 60 ili kifanye kazi

    Ukiwa huna uwezo wa kufikiri, ndio utashangaa kwa nini bil 2. Serekali inachofanya ni kutenga hela za kuandaa mazingira ya mwekezaji kuanza vizuri, na sio serekali kuendesha kiwanda. Ikumbukwe kuna figisu figisu nyingi hapa, kulipa madeni ya kiwanda, maslahi ya wafanyakazi waliopita, nk...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Ni halali kwa mtangaziji wa kituo cha TV kusuka nywele ( EATV)

    Picha please...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Yajue mambo 10 ya kuvutia kwa Nyoka Anaconda

    Je naye hushambulia binadamu?
Back
Top Bottom