Malawi Impound Tanzanian Boat, Arrest 16 - Magufuli Deploying 3 Ships On Disputed Lake Malawi

Malawi Impound Tanzanian Boat, Arrest 16 - Magufuli Deploying 3 Ships On Disputed Lake Malawi

Mipaka mingi nimeisoma lkn sijawahi kuona mpaka ukipitia katikati ya Bahari au Ziwa, Tufikie mahali tuwe wakweli. Ama ziwa Ni la Wamalawi au La Tz.
Kwani mpaka wa Tanzania na DRC unapita wapi mkuu.........
 
Una maana gani wewe!!
Kweli wewe Mtanzania
Unataka kumaanisha ziwa Tanganyika tukaweke mpaka ufukweni mwa Kongo sio

Wewe sio Mtanzania

Huyo in kilaza. Hajui chochote kuhusu sheria za kimataifa za majini, afu anajidai amepitia mipaka mingi. Labda kapitia mipaka ya vijiji.
 
Sasa Zanzibar inaingiaje hapa. Wee kweli ni simplemind, utakuwa mdebwedo.
Anaisema znz sababu wakiwa kule ..kwao wanamwagika Povu kwamba Tanganyika inawanyonya lkn wakija Tanganyika kiiiimyaaa.....
 
Tuwe wakweli ziwa nyasa kwa mujibu wa sheria za kimataifa si letu. Mbona kikwete alisema wakati tume ya kurekebisha mipaka ilipofika walirekebisha upande wa juu ziwa nyasa yaani mto songwe na yeye alisema anashangaa kwa nini kamati hiyo haikuendelea na kazi hiyo hadi upande wa kusini wa ziwa hilo. Ndio maana enzi za utawala wa Nyerere aliwajibu kila ardhi ya tanzania itakayoondolewa na maji wailipie, wakawa wanashindwa kuendelea na mada yao. Tatizo watanzania tumezoea kuishi kwa ubabe na si kwa kufuata sheria , mtu akiwa mkweli anaonekana si mzalendo.
 
Mipaka mingi nimeisoma lkn sijawahi kuona mpaka ukipitia katikati ya Bahari au Ziwa, Tufikie mahali tuwe wakweli. Ama ziwa Ni la Wamalawi au La Tz.
Kwahiyo Unamaanisha hata Ziwa Tanganyika na Victoria mipaka isipite katikati ya ziwa?
 
Mipaka mingi nimeisoma lkn sijawahi kuona mpaka ukipitia katikati ya Bahari au Ziwa, Tufikie mahali tuwe wakweli. Ama ziwa Ni la Wamalawi au La Tz.
Uelewa wako kuhusu mipaka ni Mdogo sana ndugu..!!
 
Hawa jamaa hata waende mahakama iliyopo sayari nyingine hii kesi watashindwa tu.
Ni kesi rahisi ila naona wanajaribu sana kui~complicate, alafu ilikua hivyo miaka yote ghafla wameibuka from nowhere na kuanza hizi kelele. Yaani uko Tanzania, ziwa unaliona hilo hapo ila huruhusiwi hata kulikanyaga bila passport, hehehe! duh hawa jamaa wamejaa maji vichwani.
 
Una maana gani wewe!!
Kweli wewe Mtanzania
Unataka kumaanisha ziwa Tanganyika tukaweke mpaka ufukweni mwa Kongo sio

Wewe sio Mtanzania

Umekosea inawezekana ni mtanzania lakini je ni akili yake au moyo wake upo wapi.

Prof shivji alimdefine mwafrika not by their blackness lakini for their hearty like Tunisians Morrocans, Egyptians these have no heart in Africa regurdlesd of being physically in Africa. So huyo moyo wake either upo Malawi au Kenya na haoni shida Kusema aliyo yasema . Hawa ndo hata kuimba Mungu ibariki hawawezi, achilia mbali Tanzania Tanzania
 
Nchi hii ikijaa watu halafu tukatakiwa kupunguza wengine, tunaanza na watu kama wewe

Mkuu Nchi hii kwangu sioni umuhimu wake kwa chochote hata ukinipa 24 hours naondoka tusisubiri kujaa watu.
 
Kwa hiyo waliopo Mbamba bay au Nyasa upande wa Songea kwa mzee wa number one wataisoma number au nn? Shida hii..
 
Kwahiyo Unamaanisha hata Ziwa Tanganyika na Victoria mipaka isipite katikati ya ziwa?

Mipaka iliyopo kwenye ramani ya ziwa Tanganyika Ni ya kuchorwa Ni Kama mtu yoyote anafanya hivo. Weka picha ya alama yoyote inaoonekana. Kaeni chini mujadiliane upya. Na Kama una alama hizo Ndio tutazifata au siku moja Na hiyo unayosema mtakua hamuelewani.
 

Attachments

  • image.jpeg
    image.jpeg
    14 KB · Views: 51
  • image.jpeg
    image.jpeg
    13.9 KB · Views: 63
Mipaka mingi nimeisoma lkn sijawahi kuona mpaka ukipitia katikati ya Bahari au Ziwa, Tufikie mahali tuwe wakweli. Ama ziwa Ni la Wamalawi au La Tz.

Una umri gani? kwani mpaka wa Mozambique na Malawi upoje?

Kama nchi yako ni land locked sawa. Wenzani tunamiliki sehemu ya bahari ya Hindi.

Mpaka wa Uganda, Kenya na Tanzania upo ndani ya Ziwa Victoria pia mpaka wa Lake Tanganyika kati ya DRC na Tz.
 
Back
Top Bottom