ni halali
Nimemuona mtangazaji wa kituo cha tv east african tv mumbi akiwa amesuka nywele na akitangaza hivi kimaadili imekaaje hasa kwa hapa nyumbani tz?
Nimemuona mtangazaji wa kituo cha tv east african tv mumbi akiwa amesuka nywele na akitangaza hivi kimaadili imekaaje hasa kwa hapa nyumbani tz?
Kati ya vitu nisivyopenda ni kufatilia maisha ya mtu,kama mtangazaji ni mwanaume siyo lazima awe bwabwa,kuna watu wanapenda tu kua hvyo na wanaona wako smart.kama mtu kasuka kwa mtindo wa rastafarian ni tamaduni na ni aina ya kujiweka poa tu hasa akiwa msafi kimavazi,nadhifu,mtoa mada ukikaa South Africa si ndo kila mwanaume utamuona hafai?coz huko ni kawaida vijana kusokota dread kwa mtindo wa kusuka na wako nadhifu sana kimavazi
Nywele ni zake au zako?Nimemuona mtangazaji wa kituo cha TV, East African TV Mumbi akiwa amesuka nywele na akitangaza hivi kimaadili imekaaje hasa kwa hapa nyumbani Tz?
Usiku mwema bwana!Sikusema south africa jibu ni halali au sio halali sijui kujadili maisha ya watu binafs jarida la forbes na orodha ya matajir dunian isingekuwepo