CONSULT
Senior Member
- May 8, 2011
- 194
- 204
Kuna dalili kubwa sana za wafanyabiashara kujijenga zaidi upinzani baada ya sakata hili la sukari kuonyesha wazi kuwa serikali sio rafiki kamwe na hao wajasiriamali kwa uwazulia mambo na kuwa dharirisha kwenye jamii inaonyesha wanarudi nyuka kule wapokuwa wakiitwa WANYANYAJI, MAKABAILA, WALANGUZI , MABEPARI, na vitisho vingi