Msaada kuangalia Copa America

popo1986

JF-Expert Member
Jul 30, 2014
1,120
372
Jamani mdau wenu ninashida nahitaji kufuatilia michuano ya Copa america Nina kingamuzi cha Star times sasa naulizia ni channel gani ktk star times inaonyesha hizi mechi? Au nisijisumbue Ku recharge?
Nisaidie ni waungwana
 
wanaonyesha ktk sport focus na chanel ingine nimeisahau, yapaswa ulipie 12elf mkuu
 
usiku wa saa nane mpaka asbh

hata hivyo sijaona super sports wakionesha.

hii michuano imejificha sana japokuwa nimitamu sana.
Wazungu hawataki kufunikwa na Copa America, mipira mikubwa mikubwa zenye namna ya kuvutia ndo zinatoka huku...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom