Hivi Giggy money ni nani hapa Tanzania?

juvenile davis

JF-Expert Member
Apr 13, 2015
4,752
4,463
Wakuu hii naapa kwa jina la mungu,

Kuna jina linatrend sana kwenye social netwek la mwanamke anaeitwa Giggy Money. Hivi huyu dada ni nani hasa au amefanya jambo gani kubwa kwani mbona watu wanamuongelea sana mitandaoni,??

Hakia mungu simjui zaidi ya kusoma nyuzi za watu zinazoongelea huyu mtu,anaemjua anijuze

NB: Kumbuka kuuliza si ujinga,na aulizae basi anataka kujua
 
Kaona mwenzake aitwaye CHURA alivyopata umaarufu kwa kucheza KICHURA CHURA.

Sasa na yeye kaamua kuja kwa style kama za huyo CHURA.

BASATA, kazi kwenu!
 
015eae6014e41b5e6307c768a6f643e0.jpg
wewe unayesema humujui huyo wapo mtoto
 
video qeen ?alafu fuatilia ametokea video ngapi? hata 5 sidhani ila jina kubwa kujipaisha kila siku .anakazi yake anaijua ila huwezi ukatokea video moja au 2 kwa mwaka ukasema ndio kazi yako
 
Huyu dem alikutana mjeda ney wa mitego, akamchukua kuwa video queen, akampa scene mbaya mbaya, mwisho wa shooting, dem kadai mchongo wake, akaishia kupewa buku 20.
 
Wakuu hii naapa kwa jina la mungu,

Kuna jina linatrend sana kwenye social netwek la mwanamke anaeitwa Giggy Money. Hivi huyu dada ni nani hasa au amefanya jambo gani kubwa kwani mbona watu wanamuongelea sana mitandaoni,??

Hakia mungu simjui zaidi ya kusoma nyuzi za watu zinazoongelea huyu mtu,anaemjua anijuze

NB: Kumbuka kuuliza si ujinga,na aulizae basi anataka kujua
Ni baby wa Ali kiba.
 
ni MKE wa msanii ALLY KIBA
 
Back
Top Bottom