moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,905
- 4,940
Wataalam wa uchumi nisaidieni kidogo, nani mkweli.
[emoji654]Wananchi wanadai kuwa serikali imebana hela.
[emoji654]Serikali inasema watu wameficha hela.
[emoji654]TRA wanasema makusanyo ya kodi kwa mwezi yameongezeka.
Lipi ni lipi?
*Epuka Uchochezi*