Nchi 76 wanazoruhusiwa watanzania kutembelea bila ya viza

Nchi 76 wanazoruhusiwa watanzania kutembelea bila ya viza

Mmmh si kweli, hii list sijui katoa wapi, nimekwenda ethiopia ukifika Adis wana ku chaji Visa, pale pale Airpot.
 
Ila mtoa mada sijajua amepata wapi source ya habari yake.kitu ambacho mm najua nikua hua kuna kua na makubaliano kati ya nchi na nchi ya kuto kutozana visa...kwa maana hiyo km tanzania ina watoza hata wao watatoza tu.
Katika nchi ulizotaja zipo ambazo wao wanalipa visa kuingia nchini hivyo na wao ni lazima watutoze visa...kwa africa nchi ambazo mtz utaingia bila kulipa visa ni zote za east africa na kusini mwa africa yaani zambia,malawi,afrika kusini,lesotho,botswana nk...kwa west africa utaingia bila kulipa visa ghana tu zingine zote unalipa.(ngoja nipekue pekua km nchi zimeongeza).
haya congo ya kabila na brazzavile,chad,south sudan na zingine zote unalipa...huko comoro unalipa ila shelisheli ndio bure.
Mkuu soma vizuri nimeweka source. Ila asante kwa mchango wako.
 
Mkuu soma vizuri nimeweka source. Ila asante kwa mchango wako.
Basi huko ulikotoa hiyo habari hawana uhakika na walichoandika..mfano nchi ya egypt tz tunalipa visa 50 usd na wao wakija wanalipa hiyo hiyo.
 
Basi huko ulikotoa hiyo habari hawana uhakika na walichoandika..mfano nchi ya egypt tz tunalipa visa 50 usd na wao wakija wanalipa hiyo hiyo.
kulipa na kuomba vitu viwili tofauti mkuu toka akili yako kwenye masabuli huko .mzungu akija hapa analipia tu airport ila wewe kwenda huko kwao lazima uombe kwenye embassy yao na hapo kuna kupata au kukosa
 
kulipa na kuomba vitu viwili tofauti mkuu toka akili yako kwenye masabuli huko .mzungu akija hapa analipia tu airport ila wewe kwenda huko kwao lazima uombe kwenye embassy yao na hapo kuna kupata au kukosa
Sasa hapo ndio nimekuelewa kua unazungumzia visa on arrival na sio free entry,ulitakiwa utoe ufanunuzi huo toka mwanzo maana wachangiaji wengi wameelewa kua ni kuingia bure.
Tena urekebishe hadi title yako maana umeandika nchi ambazo mtanzania anaingia bure,sasa kulipia visa on arrival ni kuingia bure?punguza masabuli.
 
Mtu akisafiri ili kuweza kuingia katika nchi nyingine, mara nyingi huhitajika kutoa Visa pamoja na hati ya kusafiria (Passport). Lakini kuna baadhi ya nchi zinaweza kukuruhusu kuingia bila vitu hivyo ila zitakupa siku kadhaaa unazoweza kukaa nchini humo. Vilevile kuna nchi ambazo Watanzania wanahitaji passport tu kuingia.

Ifahamike kuwa,baadhi ya nchi hizi huruhusu mtu kuingia bila visa na kukaa hadi siku 90 ambazo utatakiwa uwe umepata visa yako au la utarudishwa kwenu. Zifuatazo ni nchi 73 ambazo Mtanzania anaweza kuingia bila visa.

Antigua & Barbuda
Albania
Armenia
Azerbaijan
British virgins Island
Barbados
Bangladesh
Botswana
Burundi
Bahamas
Belize
Bermuda
Bolivia
Cambodia
Cayman Island
Cape Verde
Comoros
Cook Islands
Djibout
Dominica
Ethiopia
Ecuador
Egypt
Fiji
Grenada
Guinea
Georgia
Haiti
Hong Kong
Jamaica
Jordan
Kenya
Kosovo
Laos
Lebanon
Libya
Liberia
Macau
Malaysia
Madagascar
Maldives
Malawi
Mauritius
Micronesia
Mozambique
Monserrat
Mongolia
Nauru
Niue
Nepal
Namibia
Nicaragua
Palau
Philipines
Qatar
Rwanda
Samoa
Suriname
St. Kitts & Nevis
St. Vincent & Grenadines
St. Lucia
Sierra Leone
Singapore
South Africa
Swaziland
Tuvalu
Togo
Turkmenistan
Trinidad & Tobago
Timor-Leste
Uganda
Vanuatu
Zambia
Zimbabwe

Credit: swahilitimes.
Please Kenya lazima uwe na visa/karatasi?????? ya kuingia mle. Naona Holoholo huwezi ingia kienyeji. am I wright?
 
Hizi ni nchi ambazo watanzania tunaweza kwenda bila visa kwa muda wa miezi mitatu au zaidi. Nadhani tunapaswa kwenda mbali zaidi
=====================================================================
Most countries require a visa for entry with your Tanzania passport; however, there are some countries that will grant you entry for a specified amount of days or sometimes even months without visa. While Tanzanians need visa to enter almost all countries, there are some nations whose citizens can travel to almost anywhere without any restriction. The Henley & Partners Visa Restrictions Index is a global ranking of countries according to the travel freedom that their citizens enjoy. Henley & Partners has analyzed the visa regulations of all the countries and territories in the world and created an index which ranks countries according to the visa-free access their citizens enjoy to other countries. In the case of Tanzania, examples of these countries include: Albania, Cook Islands, Djbouti, Dominica, Ethiopia, Ecuador, Fiji, Grenada, Gambia, Georgia, Haiti, Nepal, Namibia, St Lucia, Singapore, Seychelles, Swaziland, Tuvalu, Togo, Trinidad & Tobago, Timor-Leste, Uganda, Vanuatu, Zambia and Zimbabwe.

It should be noted however that some countries within this list will only allow you to stay in their country without a visa for up to around 90 days, before a visa is either purchased or you are sent back home. It is important to find out before travelling whether you need a visa to enter your destination or transit country. The following countries allow you to visit them as a Tanzanian without visa.



Countries You Can Travel to Without Visa From Tanzania
Antigua & Barbuda

Albania *

Armenia

Azerbaijan

British Virgin Islands

Barbados

Bangladesh

Botswana

Burundi

Bahamas

Belize

Bermuda

Bolivia

Cambodia

Cayman Islands

Cape Verde

Comoros

Cook Islands

Djibouti

Dominica

Ethiopia

Ecuador

Egypt **

Fiji

Grenada

Gambia

Guinea

Georgia

Haiti

Hong Kong (3months Visa upon arrival)

Jamaica

Jordan *

Kenya

Kosovo

Laos

Lebanon *

Lesotho

Libya *

Liberia

Macau
Chanzo: Buzzkenya
 
Nchi za maana hapo economically ni south, Namibia, Botswana na zile chache za Africa magharibi, zingine ni kuvutia watalii tu hazina issue.
 
SHIDA HAPO TIKET YA NDEGE HATA WANGESEMA EU NA AMERCA,,SHIDA AIR TIKENT ACCOMODATION
 
Kama

Kama sio mtumishi wa Umma na unaenda safari binafsi kwa gharama binafsi, Magufuli hakuhusu.
Unasema hayo leo. Hujajua kwamba kapanga nini.

Anaweza kuamka zikamtuma "hawa Watanzania hata wasio wafanyakazi wa serikali wanasafiri safiri sana. Ngoja tuondoe hizi nchi ambazo wanaweza kwenda bila visa."

Hana akili nzuri yule.
 
Unasema hayo leo. Hujajua kwamba kapanga nini.

Anaweza kuamka zikamtuma "hawa Watanzania hata wasio wafanyakazi wa serikali wanasafiri safiri sana. Ngoja tuondoe hizi nchi ambazo wanaweza kwenda bika visa."

Hana akili nzuri yule.
😵😵😵
 
Sijawahi kwenda nje ya nchi na passport ninayo.... mwaka huu ntajitutumua niende
 
Back
Top Bottom