Nyumba inakodishwa, ni two in one apartment zenye vyumba vitatu vya kulala, choo cha ndani, kimoja na cha nje kimoja kwa kila apartment, luku ya umeme kila apartment, jiko, sitting room, feni kila chumba na sitting, floo tiles, parking ndani ya fensi. Maji mpaka ndani.
Kodi kwa mwezi ni Tshs...