Kichwa Ndio Mtu
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 3,079
- 1,719
hadi chuo kikuu hujui kutongoza ? Jichagulie tusi
kutongoza ni kipaji mkuu sio elim wala miaka yako.
hadi chuo kikuu hujui kutongoza ? Jichagulie tusi
Habari wana MMU,
Kwanza napenda kuwapa pongezi members wa hili jukwaa ambao mmekuwa mkitoa mchango wa Mawazo katika mijadala mbali mbali ambayo imekuwa inaletwa mbele yenu! Kwa namna moja au nyingine imekuwa ikitusaidia sana, hususan kwenye swala zima la mapenz ambalo linaumiza akil na mioyo ya wengi wetu!
Mimi nina swala moja ambalo limekuwa likinisumbua, nimetokea kumpenda msichana mmoja ambae tumasoma nae hapa chuo, Ud. Ni binti ambae amesimama kiroho, anamisimamo yake ya kimaisha ikiwamo kumtanguliza mungu katika kila kitu!
Ni takriban mwaka mmoja sasa tangu nimeanza mazoea nae na kujaribu kujenga urafik lakin tatizo ni kwamba huwa harespond mesege, hapend kuchat, hata muda wa maongez na watu wengine huwa hana.,
Mara zote yupo bize na mambo yake, in shotly hapend mazoea na mtu yeyote! Nmejaribu kutumia kila njia na bidii ili kujenga hata mazoea nae imeshindikana!
Wadau ,naombeni ushauri wenu kwa wale wenye uzoefu na watu wa aina hii,
Nampenda sana na napenda aje kuwa mke wangu wa ndoa,
Nb. Mimi pia nampenda mungu...,
Hekima na busara itawaleee
Asanten,
Wacha uhuni wewe ....Aliyekuambia mapenzi yanahitaji dini ni nani...??? Attraction inatokea pasipo na dini....Mambo ya dini yatakuja baadaye....Mlokole waachie walokole wenzake waje wafaidi umeona faida ya kuokoka eeeeh!
mke mwema mtu hupewa na Mungu na sio JF! invest in prayers. muda huu unaouliza hapa jf ungekuwa unaomba ili upate mke mwema. labda umeshindwa tu kusema unataka utembee naye then usepe maana kama sio hivyo usingeongelea misimamo ya huyo binti ungejua tu hiyo ndo imani yake! spoils I dint mean kuchafua rather a reward or share!!
Mkuu swala la kuokoka sio swala la kuokoka il upate mke,then hata mimi ni muumini na pia nimesimama kwa mungu!
faida ni msichana kutunzwa na Mungu mpaka jamaa amelitambua hilo
Kweli shetani ana njia nyingi za kushawishi na kuteka watu.
Yaani aanze kwanza kumteka kiroho na kumwaminisha!lol
Kumpata binti aliyeshikilia Imani inakuwa ngumu sana,cha kufanya usiwe na haraka ya kumpata kimapenzi.
Anza kwa kumpata kiroho kwanza na muaminishe kuwa huna nia mbaya nae.Ikiwezekana mfatane kila anapoenda ibada na sala za jioni muwe wote.
Kama mnasoma darasa moja jaribu kuwa unafanya naye discussion na hata muda wa msosi basi muwe wote.
Taratibu anza kumsoma hisia zake kama kweli anaingilika na anaweza kuwa katika mahusiano,kama utaona yupo tayari basi mwaga verses za maana zenye malengo na sio zile, oohh kwetu tuna pesa blah blah kibao weka pembeni.Na kama haingiliki basi jombaa chapa lapa usije hadhirika maana atakukataa na urafiki wenu ndo utakuwa mwisho.
Hivi unaomba halafu Mungu anakupeperushia huyo mke...???
Kazima utafute, lazina uone, lazima upate intimate attraction kwanza, lazima ujichanganye,.....Ukishakuwa na circle ya kutosha ya marafiki hapo ndo utaomba Mungu kati ya hao marafi akuoneshe atakaye kuwa wako...
Imani bila vitendo ni mfu...
Km kweli huyo dada ameokoka nakushauri usipoteze muda maana maisha ya kuokoka yana muongozo wake na taratibu zake ambazo sasa anazifuata ndo maana anakuvutia. Unawezza jitahidi kumpata but upande wa pili yaani yeye atakuwa ameasi ulokole wake ndipo atakuwa mtu wa kawaida kama wadada wengine. Mungu amekataza mtu mwenye imani fulani kuoana na mwenye imani nyingine viko vitu vingi vinaweza wasumbueni baadaye hata wewe utakuwa bored sana pale yeye yuko church wewe utapenda disco,..... Ushauri tafuta mtu mwenye the same interest you will a good chemistry
huwezi kumwomba mungu mke mwema huku unae kichwani tayari
kweli kabisa
weka namba yake nikupige tafu...
ongea kwanza na Mungu, kisha Mungu ataenda mpelekea ujumbe wake, pindi binti atakapoomba Mungu ampe Mume mwema, namaanisha ingia nkiroho, kinyume na hapo subiria ukemewe kama kashetani kadogo kadogo.
Sawa mkuu, hata mimi pia nampenda na kumtumikia mungu
Mmeonana kwa muda gani.
If just for a short time,mpe nafasi.Talk about other stuff:-family,hobbies,likes n dislikes,future life and mostly life-challenges based on the Bible.Usikurupuke kujadili kuhusu ndoa na sex.Kumbuka,ukaribu wako na yeye unampa naye nafasi yake yeye kukusoma.So don't rush. Give her your time,energy,emotions and who knows,labda ni yeye atakayesema anaku-feel.
Kila la heri.
huwezi kumwomba mungu mke mwema huku unae kichwani tayari