Tembo aua Majangili wawili Mikumi

Tembo aua Majangili wawili Mikumi

Laiti binadamu tungekuwa tunaongea lugha moja na tembo, tungewapa AK47 wajilinde wenyewe....
 
Huyu tembo aende makao makuu ya CCM kuna mtu atamkuta pale....
Ndugu yangu, mbona humtakii mema tembo wa watu? Kaponea chupu chupu kwa majangili waliotumwa kummaliza, sasa unashauri aende makao makuu ya CCM kwa bosi aliyewatuma majangili! Si ndio utakuwa mwisho wa maisha yake?
 
Misiba itakua sakina au lumumba?huyo tembo azungushwe mbuga zote akatoe mafunzo kwa wenzake
 
Hivi hifadhi ya Mikumi kuna Tembo

Wapo wengi. Mara ya mwisho nilipita naenda Mbeya 2010, walikuwa pembezoni kabisa ya barabara tena wengi. Hata hivyo, hongera tembo kwa kujilinda. Walitaka wauchukue uhai wako kirahisi, afadhali umejitetea! Big up mr Elephant.
 
ina maana hapo Kilosa hakuna ulinzi shirikishi???inakuwaje hao mashuhuda waliweza kuwaona majangili yanaenda kuua tembo na hakuna taarifa zozote kutolewa au kuwalinda hao tembo?
 
Huyo Tembo akamatwe kwa kujichukulia sheria mkononi. Maaskari wanyama pori wenyewe hawaruhusiwi kumwua jangili tembo kauaje?
Watumwe wataalamu kutafuta mbuga yoote ya Ruaha, tembo aliye jeruhiwa na kuua. Tutapata wapi fedha ya uchaguzi wakati hata ya kuboresha daftari la wapigiwa kula sory la wapiga kura hatuna?
Kamanda Kova aende upesi kuchunguza kama waathirika walikuwa na ID ya mpiga kira na kadi ya chama.
 
safi sana pigo kwa kinana vp weka hata picha kama unazo
 
Ndugu yangu, mbona humtakii mema tembo wa watu? Kaponea chupu chupu kwa majangili waliotumwa kummaliza, sasa unashauri aende makao makuu ya CCM kwa bosi aliyewatuma majangili! Si ndio utakuwa mwisho wa maisha yake?
Tembo kaonyesha uwezo mkubwa wa kuuwa majangili... sasa aende kwa mabosi wanaosafirisha vinavyoletwa na majangili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom