tungibwaga
Member
- Apr 1, 2012
- 51
- 11
Hello Benjamini, mzee wako kafariki Mbeya jana please upatapo taarifa hii wasiliana na ndugu zako.
Daah! Kweli we noma! Kwani hapa ni sehemu ya matangazo ya vifo.
Hello Benjamini, mzee wako kafariki Mbeya jana please upatapo taarifa hii wasiliana na ndugu zako.
Kha!...:msela: haha haaa hhaa...!
Sijaelewa logic ya mtoa maada kwa kweli.
Benjamini eeeeh dingi yako kavuta! ogonile Toni taachi!
Hello Benjamini, mzee wako kafariki Mbeya jana please upatapo taarifa hii wasiliana na ndugu zako.
Nakuunga mkono, jf ni main stream media, inaonyesha njia zote za kumpata jamaa zimeshindikana, wakaamua kuileta jf,Hivi nyie mnaomzodoa mleta maada mnadhani yeye hana akili hadi alete bandiko la aina hii JF? Simple logic dictates that he resorted to this as he had no alternative!
Hujawahi sikia matangazo ya vifo redioni?
Ndiyo maana sijaelewa.