Jinsi ya kufungua akaunti ya paypal na usalama wake

Utaleta na mrejesho tujue umepata changamoto gani tujue
Changamoto iliyopo mkuu ni kupokea hela kwenye acc bank kupitia paypal ila mambo mengine sa iv ni kitonga, Hata zile code za ku verify card sa iv naona wanakutumia kwa sms ila kwa BankABC
 
Hiyo changamoto ukiwaelezea bank wanasemaje
 
Nimepata shida katika kupokea fedha kupitia PayPal account nikiwa Tanzania

Naomba kama kuna njia yenye kuwezekana kwani Kwa debit card imekuwa changamoto kuwezekana
 
Paypal Tanzania haipokei pesa, tafuta laini ya Safaricom, fungua paypal kenya then utapokea pesa bila shida...

Ikiingia paypal, unaamishia M-Pesa kenya, then M-Pesa Tanzania..

Hiyo kwangu huwa naona ni process ndefu, angalia pia uwezekano wa btc hata webmoney
 
Paypal Tanzania haipokei pesa, tafuta laini ya Safaricom, fungua paypal kenya then utapokea pesa bila shida..
Ikiingia paypal, unaamishia M-Pesa kenya, then M-Pesa Tanzania..

Hiyo kwangu huwa naona ni process ndefu, angalia pia uwezekano wa btc hata webmoney
Hivi inakuwaje? Ni kwamba institutions za kifedha hazijaweka makubaliano na PayPal au? Inachosha sana.

Okay, halafu kuhusu BTC wallets na webmoney ni kuwa withdrawal method ya kazi nilizokamilisha zote ni PayPal hivyo ninalazimika kuweka sawa PayPal.
 
Pole sana mkuu, ndo nchi yetu hii wazee ndo wamejaa kwenye vyombo vya maamuzi, wakisikia internet wanajua ni kuangalia porn na kutakatisha pesa..

Ukiwauliza kwanini hawaruhusu paypal hawana majibu ya kueleweka!
 
Yeah, na social media scandals na nudity ndo hicho sasa. Inachosha sana yani najiuliza ninaishi century gani?

Ukienda hata online earning opportunities kwetu ziko chache, tatizo sana hili. Nachoshwa sana, tena Kwa kufanya hivyo wanalazimu watu kutumia njia zisizofaa.
 
Habari wanajamii, naomba kufahamu kama kuna mtu yeyote ambaye amefanikiwa kuunganisha Kadi yake ya bank na PayPal account na kuweza kupokea fedha kutoka nje ya Tanzania. Msaada wenu ni wa muhimu sana kwangu.
 
Mbona tumekujibu jana kule ulikokuwa umeweka thread yako au unahisi tulikudanganya?

Paypal pesa ukitaka itoa unapitanjia ya kenya kama unavyoona hapoo mm napokea pesa via hiyo platnum ni account ya kenye linked na mpesa safaricom
ripoo.jpg
 
Hiki kitu Tz hakiwezekani ngoja 2025 tufikie uchumi wa kati may be BoT watafungua
Habari wanajamii, naomba kufahamu kama kuna mtu yeyote ambaye amefanikiwa kuunganisha Kadi yake ya bank na PayPal account na kuweza kupokea fedha kutoka nje ya Tanzania. Msaada wenu ni wa muhimu sana kwangu.
 
Naomba msaada jamani kwenye kujisajiri kwenye mfumo wa malipo wa PAYPAL.

Nimejaribu kufanya hivyo naona inaleta address na mitaa ya USA tu.
 
Tz labda kuweka pesa na kununua ila si kupokea pesa.

Njia rahisi ni either utumie safaricom ya kenya (japo sina hakika kama inafaa kufungua business account ya paypal) au ufungue kampuni USA then uitumie kufungua business account ya paypal.
 
Back
Top Bottom