miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
Who does that?
wakimaliza hapo wanrukiana[/QUOTE]
![]()
Of course,Wise men do, religious people equally do and that's what should be done i.e We are supposed to be doing this regardless of our faith orientation.
Hata unachojua kuwa ni haram ukila huwa unanawa na kuomba kabla ya kula, Uongo?
Itakuwa tendo hilo linaloitwa takatifu?
ANGALIZO🙁Tendo takatifu ni kwa mwenza wa halali lakini)
Sio ufanye ukware wako huko na kuomba ukitegemea hutaadhibiwa siku ya hesabu.
wakimaliza hapo wanrukiana
Salam wana jf na baada ya salamu naomba kujua kuna umuhimu wa kuliombea tendo la ndoa kabla ya kufanya? kama ilivyo mambo mengine tunavyoyaombea?
YEEES! Tendo la ndoa ni zawadi(consummation of the marital blessings. Symbol of the love God gave us )-Lazima kwanza ushukuru. Ni muhimu tena vitu vya kuombea ni;Salam wana jf na baada ya salamu naomba kujua kuna umuhimu wa kuliombea tendo la ndoa kabla ya kufanya? kama ilivyo mambo mengine tunavyoyaombea?
Cc: Nyani ngabuYEEES! Tendo la ndoa ni zawadi(consummation of the marital blessings. Symbol of the love God gave us )-Lazima kwanza ushukuru. Ni muhimu tena vitu vya kuombea ni;
Tatizo watu wakishazoea uzinzi na uasherati wanaona hilo tendo kama dhambi. Wakati ni tendo takatifu na ni muhimu sana sana kuombewa.
- Mwanaume apewe nguvu ya kwenda mwendo mrefu
- Nyote mfikie ridhiko bila vinyongo
- Mkionja hilo tendo msitamani kwengine
- Kuwe na ushirikiano wa kutosha toka pande zote
- Kama mna tarajia mtoto awe mwenye afya na kama hamtarajii basi asije
- Kusiwe na heart attack pindi mnapofika kwa sababu likibarikiwa mfiko wake duh
wanaume wana uwezo wa kucotrol emotions than womens!nikiolewa nitafanya hivyo... nadhani ni muhimu sana... ila sijui ukiwa katika ile hali unaweza kumbuka kuomba hasa kwa upande wa wanaume
wanaume wana uwezo wa kucotrol emotions than womens!