Mkuu fungua moyo. Waweza tembea na pikipiki hio umbali wowote.
Dar- shy ni pafupi.
Mimi nikuwa natembea mbeya to Bukoba via Iringa/Tabora huku nikitumia siku 2 na nilikuwa naenjoy balaa.
Cha msingi ni kukipenda chombo.
Nilikuwa natumia Sinoray 150-18
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums...
Bado mkuu endelea kuvumilia hospitali nyingi hasa za mikoani huku posho huchelewa sana na ndo kautaratibu kao ka wizara kalivyo. Bila shaka kufikia January katikati mtakuwa meingiziwa ya Desemba
hio distance ya njombe mbeya ndogo sana. wajuzi tunakupigia mbeya to Muleba bukoba na bike km 1400 kwa siku mbili tu. nashea picha kidogo. watz tuache woga
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.