Bibi alimwambia Mzee 'Huyu mwanao huyu! Sijui" ndo nikaja mwelewa Ukubwani alimaanisha nini

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,616
2,000
Miaka ya nyuma nikiwa bwana mdogo tu nakumbuka siku moja mdingi alinikuta nmenyuti kwenye korido home namchungulia dada wa kazi anapiga deki.

Mimi sikujua kama mzee karudi mapema siku hiyo. Yule dada akawa ameinama anapiga deki huku nyuma kunacheza cheza kadri anavyozungusha zungusha mikono. Mi nachungulia. mzee alinicheck kwanza kwa sekunde kadhaa kisha akakohoa. Nikashtuka.

Akaniita nipeleke daftar zangu akague, akakuta kuna hesabu nlikosa halafu sikufanya masahihisho. Akanipa tena zile hesabu nikakosa.akanambia kalete fimbo.nikaelewa "inshu" ilikuwa ni kupiga chabo.

Sasa leo nmekaa nikakumbuka mwaka flani nlikuwa likizo nikiwa darasa la sita.akaja bamdogo toka Mwanza, akanichukua niende Mwanza.

Miaka hiyo kulikuwa na utekaji mwingi sana njiani. Nakumbuka tulifika mitaa flani mbele ya Singida kipindi hicho barabara nazo si rafiki. Tukakuta wameweka magogo barabarani kwenye kona tu hivi.haiwezekani kukwepa na hatukuwa na muda wa kurudi nyuma maana nako jamaa wakaweka mawe haraka.

Tukashushwa na jamaa wameficha nyuso zao. Walikuwa kama saba hivi wengine wameshika bunduki wengine mapanga.

Wakatutaka tutoe kila tulicho nacho.tukatoa abiria wote.kimya kimya.jamaa wakaona haijatosha wakatuambia tuvue nguo zote nazo wabebe.

Nakumbuka ulikuwa mtihani sana na kuna jamaa walikuwa wabishi wakafanywa shamba darasa/kutolewa mfano.walichapwa na ubapa na kuambiwa wakiambiwa mara ya pili haitakuwa ubapa.wote tukavua.

Issue ilikuwa mbaya kwangu maana wakati wa kuvua dada mmoja alikuwa mashallah amesimama mbele akaambiwa avue.akainama hivi...

Mimi sielewi ujasiri wa kusimamisha ulitoka wapi.mashine ikaita ikasimama...jambazi mmoja katika kupita pita anatuangalia anaona mimi kitu kimesimama.

Alishindwa kujizuia kucheka.akamwita mwenzie... "xxx njoo umwone dogo amedindisha huku anacheka kinoma" bamdogo alishindwa kujizuia naye akacheka maana majambazi walijisahau wakawa wanacheka kinoma huku wakijitahidi kutengeneza sura na sauti ya ukali.

Katika waliotekwa nao wakajikuta wananitizama na kuona kweli mashine imesimama.nao wakajikuta wanacheka.wakati huo wote tumeambiwa mikono juu so kila kitu kipo wazi.

Tulipofika Mwanza baada ya week nikaanza dandia dandia vitoto vya kisukuma.na ukichukuliwa nmetoka town, bahati mbaya those days sikuwa najua hata pa kuingiza so nawachezea chezea tu maeneo yao.ndo bamdogo kunambia wewe ni badseed. Bibi yako ashawahi sema unaonekana utasumbua sana mabint.

Leo nmekumbuka tukio hili sababu yule bamdogo amerudisha namba last week.nmewaza sana nliwezaje simamisha mnara katika mazingira magumu vile. Kumbukumbu hii hunifanya nikumbuke majambazi wakicheka.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom