jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 19,103
- 35,923
Wakuu.
Mwezi wa pili sasa tangu tuanze utaraji maeneo mbalimbali nchini katika hospitali na taasisi mbalimbali za serikali.
Kiukweli tulianza kwa furaha na nderemo safari ya mwaka mmoja ya kuitumikia nchi yetu hususani wananchi wenzetu..katika vitengo mbalimbali ya kiafya ili kulinda na kuwatibu dhidi ya magonjwa yanayowakabili.
Furaha yetu imeanza kufifia baada ya sasa kutimiza miezi miwili kavu bila hata senti ya posho ambayo wataraji hupokea..maelezo ya wasimamizi wetu yamekua kama maneno ya mama kuku kwa vifaranga vyake kua vitanyonya kesho.
Tunaomba wizara kupitia waziri msikie kilio chetu nasi tuweze kupata hii posho..tujumuike kwa furaha na familia zetu katika sikukuu hizi za mwisho wa mwaka.
Tunajua intern..hana likizo..haugui..hachoki ila intern ana mahitaji ya msingi..sikieni kilio chetu mtusaidie.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app