T.O Elias Kihombo na tishio katika baadhi ya vitabu vyake vya Physics

Msokwa1

JF-Expert Member
Mar 2, 2018
345
500
Eliasi Kihombo T.O mwaka 2006 na Tishio katika baadhi ya vitabu vya advanced physics katika kurasa ya mwanzo kabisa ameandika kama ifuatavyo:-

""This book contain embedded holograms in some pages that can destroy Completely the LASER of the photocopy machine so don't try to take a copy because the author of the book will not be in concern for the destruction the book has international copyright""

Tosaboy.JPG

Mmmh! Nimefikiri sana nikaja na conclusion labda kwa sababu jamaa anadhani watz wote ni mazuzu ivi kina ukweli wowote hapo bhajameni
 

Mnyatiaji

JF-Expert Member
Dec 13, 2018
2,617
2,000
eliasi kihombo T.O mwaka 2006 na Tishio katika baadhi ya vitabu vya advanced physics katika kurasa ya mwanzo kabisa ameandika kama ifuatavyo:-
This book contain embedded holograms in some pages that can destroy Completely the LASER of the photocopy machine so don't try to take a copy because the author of the book will not be in concern for the destruction the book has international copyright""
Mmmh! Nimefikiri sana nikaja na conclusion labda kwa sababu jamaa anadhani watz wote ni mazuzu ivi kina ukweli wowote hapo bhajameni
Jamaa namkubali ukikurupukA na material take unachizi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom