Uchaguzi 2020 Baada ya kumuhifadhi marehemu katika nyumba yake ya milele ndipo balozi akasimama kutangaza Jambo ambalo alidai kuwa limetoka kwa wakubwa!!

Molleli

Senior Member
Aug 29, 2020
131
250
Acha ushamba, kwa taarifa yako maeneo mengi taarifa mbalimbali ziwe za maendeleo au nyingine zozote hutolewa kwenye mikusanyiko ya watu, sasa hapo alisimama balozi tena ni wa CCM angesimama afisa mtendaji si ungefunga kibwebwe uzunguke dunia nzima kusema CCM inatumia viongozi wa Serikali kufanya siasa.

Acha ushamba.
[/QUOTE Muwe mnampa japo ushauri aachane na wasanii na kukusanya wananzengo kwenye magari ya mizigo ajaribu kuja kiume tuone Ni jinsi gani atapokelewa😆😆
 

Joselela

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
4,822
2,000
Uchaguzi ungekuwa unapimwa kwa nyomi za watu wenye akili zao wasinge anzisha utaratibu wa ballot box.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom