Mkuu, Hayo magazeti yalifanya hivyo hivyo 95, 2000, 2005? unashangaa nini leo 2010?
Nimekuuliza wameandika kashfa ipi? kuna tofauti kati ya kashfa na ukweli...mathalan, kusema Slaa ni mtaalamu wa kanuni za kanisa siyo kashfa ni ukweli! au siyo. Kusema Slaa amemuacha mke wake na yuko na mke wa...