Junius
JF-Expert Member
- Mar 11, 2009
- 3,181
- 139
Huu si mwaka wa nne wa utawala wa Kikwete...kuwa haujafanya hiki au kile...huu ni mwaka kati ya miaka zaidi ya 40 ya utawala wa CCM haujafanya lolote la maana kuinua hali za wananchi maskini...CCM ndiyo tatizo, akiondoka Kikwete 2015 hali itabaki hivyo hivyo kama ilivyokuwa kabla na wakati wake.