Watakuwa wanasubiri matokeo ya barua yao ya kulialia kwa Wazungu. Obama amtume Hillary Clinton kuingilia kati.
Kama hii ndiyo approach ambayo CCJ watakayotumia wanaweza kupata mafanikio kwani hata viongozi wa Serikali ni watumishi wa kina Obama na Clinton na wanajulikana kuwa ni ombaomba wa kimataifa. Hivyo kama CCJ watafanikiwa kuwashawishi kina Obama kuingilia kati wanaweza kufanikiwa sana.