Kama mlivyosoma hapo juu wana Jf hua naamin huku kila mtu ana mawazo yake mazur. Nina kama Milion2 nataka nifungue hata biashara ya kawaida ili hata nipate ahueni ya maisha. Ushauri wenu jaman
Katika kuelekea kumaliza bachelor yangu nimebakiza wiki kama mbili ili nirudi mtaani niangalie natoka vipi kimaisha but nimeyashuhudia mengi sana ila leo ni base kwa upande wa akina dada
1. The day tunaripoti walikuwa wasichana safi sana
2. Wakaanza kubadilika na kuanza kuvaa kikahaba hata...
Habar zenu wana jamii,
Kama kicha cha habari kinavyosema nina sababu mbali za kusema kua rais wetu ni Lulu iliyoletwa na Mungu, na Lulu za aina hii inaweza kupita miongo mingi bila kupata mkombozi kama huyu. Zifuatazo ni baadhi ya issue napenda kuongelea;
1. kuna maprofessa wanaanza kujisifu...
ni kawaida kusikia haya maneno, coz hata wanawake wanasemaga hvyo wakitendwa afu mwisho wa siku unapata mwingne life goes on then unaumizwa tena then hvyo hvyo utakuja jf kulalamika till u go to the grave
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.