Nilichokiona safari yangu ya Mtwara

Nilichokiona safari yangu ya Mtwara

Mkuu chondechonde nitafutie mtoto wa kimakonde naskia wako vzr sana kwenye mambo yetu yaleeeeee...
Mkuu alafu mademu wa huku watamu balaaa wanazungusha nyonga si mchezo,nimelamba mmoja tyr natafuta mwingine
 
>>> ULIKULA TASI MKUU au KIBUA SIKU ZINGINE tembelea nkanaled ,coco bich ,nsanga mkuu upate pweza na ngisi,bila kusahau viokolo na chaza >>
 
Ukitaka kuwajua wamakonde walivyo wavivu nenda mwezi wa ramadhani ukifika dukani anakwambia kachoka nenda duka la2 unataka kilo 5 za nyama utaambiwa nunua 2 au 3 wengine wakija watanunua nini
Hahahahah hilo tukio limetutokea na washkaji zangu hapo kwenye jiji la Daud Bashite,muuzaji Kagoma kutuchomea nyama yote aliyokuwa anaiuza kumuuliza sababu na tunakulipa hela yako yote akadai ana wateja wake wakija watakosa nyama
 
Muwe Mnawaza Mbali Kabla Ya Kukimbilia Kupost. Kwan Fursa Ni Nn? Kwan Fursa Kwako Ww Ni Lazma Iwe Fursa Kwangu Pia? Kwann Watu Wamezaliwa Na Wamekulia Dar Lkn Wanaish Na Kufanya Shughulizao Mikoani? Wkt Huo Huo Watu Wa Huko Huko Mikoani Wanakuja Kuish Na Kufanya Kaz Zao Dar? Ukiona Mtu Anaamua Kuondoka Mkoani Kwake Ujue Amejarb Njia Zote Na Kuamua Kutafuta Rizk Mahala Pengine, Na Huyo Anaendesha Gar Huko Ukute Dar Au Alikotoka Kulibuma. Mungu Alitupa Miguu Kwaajir Ya Kutafutia Rizk. Mungu Ametuumba Tofauti, Na Mazngira Pia Yametulea Tofauti Mf.Tamaduni, Imanii Na Elimu, So Fursa Znakuja Kutokana Na Utofaut Wetu. Mf.Zpo Znazohtaj Wasomi, Zpo Znazohtaj Iman Km Kuanzsha Makania, Tiba Mbadala Nk. Pia Biashara Anayoweza Fanya Mchaga Au Mkinga Kuna Jamii Haiwezi, Au Umwambie Mmasai Awe Mkulima! So Kutokana Na Nature Hii Watu Ndo Maana Uhangaika Huku Na Kule Kusaka Hyo Fursa, Unaweza Ukaifikia Au Pshana Nayo Au ukakutana Nayo Au Ikakujia Miguuni. Ni Swala La Kumshirikisha Mungu Pia.
 
Aisee hata kama jamaa amefika Mtwr,ila kachanhanya
 
Samahani Mkuu, nisaidie picha ya hiyo (hyutong), samahani lakini.

Mabasi ya Buti la Zungu yana daraja la kwaza na daraja la pili.

13703218_1799224696964336_423537787_n.jpg
12479111_1506333239669992_1199619587_n.jpg
 
Natumaini wengi wetu ni wazima wa afya na waliowagonjwa tuzidi kuwaombea kwa Mungu atawafanyia wapesi. Leo ni Ijumaa kwa sisi waislam twendeni Masjid kumwabudu Allah. Nipo safarini kwenda vocation Mtwara kwa ajiri ya weekend, safari yangu ilianza Temeke mwisho lakini kabla sijakata ticket nilipata mgongano wa mawazo kuhusu basi gani lingefaa kwa safari yangu.

Nikakata shauri nikapanda BUTI LA ZUNGU (Hyutong)ikumbukwe.Basi safari ikaanza nilibahatika kupata siti ya dirishani, muda mwingi niliutumia kuangalia mandhari ya nje huku nikisikiliza good music, tulipofika Rufiji jirani yangu akaniambia "kabla ya daraja hili tulikuwa tunatumia siku9 kuvuka kuja Dar es Salama, tunamshukuru sana mh Mkapa kwa daraja hili". Mida ya saa 6:45 tuliingia Lindi stand, Msema kweli ni mpenzi wa Mungu kusema kweli Lindi si nzuri kama wanavyodai baadhi yetu humu jukwaani. Yaani ni mji wa kizamani sana nimeshangaa sana hawana cha kujivunia may be bahari tu. Tuache hayo gari likasimama kama 9minutes tukaendelea na safari mimi nilikuwa na hamu ya kufika Mtwara kwa Dangote tu.

Tukaanza kuingia Mtwara kwa kufika mnazi mmoja na vijiji kadhaa vya Mtwara. Tulipofika madangwa nilianza kuona jengo refu ndipo nikaambiwa ni kiwanda cha cement cha Dangote. Haikuchukua muda mrefu tulifika Dangote yaani! kusema kweli ni kiwanda kikubwa sana kwa ukanda wa E/A na hata Africa, kuna raia wa nchi mbalimbali. Mida ya saa8 hivi tulifika Mtwara stand, Mtwara ipo vizuri sana pia kuna miradi mikubwa inaendelea kama vile ujenzi wa bandari kubwa ya kisasa.

Kuna maeneo mengi ya uwekezaji naona Wahindi, Wakenya Wachina wanayagombania sana, nimeshuhudia fursa mbalimbali huku Mtwara. Wachaga wazee wa fursa hawapo nyuma naona wamejazana sana utazani Ushirombo.

My take Nyinyi wamakonde msikimbilie Dar es Salaam na kuacha fursa zilizopo mkoani kwenu wenzenu wanazikimbilia mkija kushtuka kumebaki bahari tu.

Karibuni tuwashauri wenzetu wa Mtwara kuhusu mkoa wao.
Ni bahati mbaya sana umechanganya habari,japo inaonekana Mtwara kweli ulifika
au umefika. Usichokijua ni kuwa ukitoka Lindi na Mnazi Mmoja kuelekea Mjini Mtwara, katika Kilometa zote 105 za Lindi-Mtwara,ni kilometa 30-35 tu ndiyo zinakuwa ndani ya Mtwara!Napo ni kuanzia Mpapura na Maeneo ya Ndumbwe. Vijiji vingi alivyoviona kuanzia pale Mnazi Mmoja bado ni vya Mkoa wa Lindi. Vijiji vya Mkoa wa Mtwara vipo kuanzia Mtwara kwenda Nanyamba,Tandahimba hadi Newala kuelekea Masasi. Lakini pia ukitoka Mnaz Mmoja hadi ufike kule Ndanda-Masasi ndiyo Mkoa wa Mtwara unaaza tena. Kimsingi Jografia yake ni ngumu kidogo. Ndiyo maana kuna rafiki yangu nilitoka nae Dar kwenda Mtwara mwaka jana akasema mbona hakuna vijiji au centre kubwa? Nikamwambia huwez kuviona kwa kutokea Dar. Lazima kwanza ufike Mtwara ndipo uwe unaelekea njia ya Tandahimba hapo ndo utakutana na Nanyamba,Kitama1, Tandadhimba,Mahuta(Kitangali na Namikupa-zipo kwa ndani)! Huko kuna miji midogo ya kibiashara kama Chalinze au Kibiti au Mlandizi.
 
Hivi bado wanaagiza mboga za majani toka Dar au wameanza kulima wenyewe?
 
Duuh, Mkuu! Umefika leo tu na haujateremka kwenye gari, uko stand ushajua kama wanaodrive magari mazuri ni wageni, so wenyeji!... Unatuma post saa 6:30 unasema uko Mtwara, na Lindi umefika saa 6:45...kwani Mtwara na Lindi wapi unatangulia kufika?
Kabla hujateremka kwenye gari yako, ebu ulizia hizo Hotel maarufu za Mji wa Mtwara ni za wawekezaji kutoka wapi?
Asante Kwa ushauri wako Mkuu, tumekusoma.
unasoma ili ukosoe dats why huelew
 
Hivi bado wanaagiza mboga za majani toka Dar au wameanza kulima wenyewe?
Kibaha wanaagiza viazi kutoka Kariakoo wakati vinapita pale kwanza. Miogo mingi wachuuzi wanachukua Mbez na kwenda kuiuza Maili Moja. Sijaambiwa nimeshuhudia kwa ndugu yangu kwa macho yangu.
Back to question,mboga zinalimwa bonde la Kitere,zamani watu hawakuwa wajuzi,lakini sasa bonde la Kitere kunalimwa nyanya na mboga mboga hadi ushindwe wewe Mwenyewe. Ila viazi mviringo,maharage, parachichi vinaagizwa kutoka Dar na Songea kwa sababu ya hali ya hewa hairuhusu. Dar kwa sababu ya kuwa ni kituo kikuu cha mambo yote kama wanavyofanya wa Kibaha.
 
Natumaini wengi wetu ni wazima wa afya na waliowagonjwa tuzidi kuwaombea kwa Mungu atawafanyia wapesi. Leo ni Ijumaa kwa sisi waislam twendeni Masjid kumwabudu Allah. Nipo safarini kwenda vocation Mtwara kwa ajiri ya weekend, safari yangu ilianza Temeke mwisho lakini kabla sijakata ticket nilipata mgongano wa mawazo kuhusu basi gani lingefaa kwa safari yangu.

Nikakata shauri nikapanda BUTI LA ZUNGU (Hyutong)ikumbukwe.Basi safari ikaanza nilibahatika kupata siti ya dirishani, muda mwingi niliutumia kuangalia mandhari ya nje huku nikisikiliza good music, tulipofika Rufiji jirani yangu akaniambia "kabla ya daraja hili tulikuwa tunatumia siku9 kuvuka kuja Dar es Salama, tunamshukuru sana mh Mkapa kwa daraja hili". Mida ya saa 6:45 tuliingia Lindi stand, Msema kweli ni mpenzi wa Mungu kusema kweli Lindi si nzuri kama wanavyodai baadhi yetu humu jukwaani. Yaani ni mji wa kizamani sana nimeshangaa sana hawana cha kujivunia may be bahari tu. Tuache hayo gari likasimama kama 9minutes tukaendelea na safari mimi nilikuwa na hamu ya kufika Mtwara kwa Dangote tu.

Tukaanza kuingia Mtwara kwa kufika mnazi mmoja na vijiji kadhaa vya Mtwara. Tulipofika madangwa nilianza kuona jengo refu ndipo nikaambiwa ni kiwanda cha cement cha Dangote. Haikuchukua muda mrefu tulifika Dangote yaani! kusema kweli ni kiwanda kikubwa sana kwa ukanda wa E/A na hata Africa, kuna raia wa nchi mbalimbali. Mida ya saa8 hivi tulifika Mtwara stand, Mtwara ipo vizuri sana pia kuna miradi mikubwa inaendelea kama vile ujenzi wa bandari kubwa ya kisasa.

Kuna maeneo mengi ya uwekezaji naona Wahindi, Wakenya Wachina wanayagombania sana, nimeshuhudia fursa mbalimbali huku Mtwara. Wachaga wazee wa fursa hawapo nyuma naona wamejazana sana utazani Ushirombo.

My take Nyinyi wamakonde msikimbilie Dar es Salaam na kuacha fursa zilizopo mkoani kwenu wenzenu wanazikimbilia mkija kushtuka kumebaki bahari tu.

Karibuni tuwashauri wenzetu wa Mtwara kuhusu mkoa wao.
Viwanja vingi hapo Mtwara vimeshikiliwa na wazee wa fursa akina mangi,achana na akina meku
 
Siku hizi ndo mnajifanya kuisifia mtwara wakati mlikua mnaona km jehanam vile au zoo flan hivi wanaishi wanakonde mambugiiilaaa

Pambav sana nyie waoza meno..
 
Back
Top Bottom