Maisha ya wadada wa vyuoni yanatia huzuni

Maisha ya wadada wa vyuoni yanatia huzuni

TRUTH gasper

Member
Joined
Mar 27, 2017
Posts
64
Reaction score
82
Katika kuelekea kumaliza bachelor yangu nimebakiza wiki kama mbili ili nirudi mtaani niangalie natoka vipi kimaisha but nimeyashuhudia mengi sana ila leo ni base kwa upande wa akina dada

1. The day tunaripoti walikuwa wasichana safi sana

2. Wakaanza kubadilika na kuanza kuvaa kikahaba hata wale waliobaki na msimamo wao walianza kuchekwa na badae wakaingia kwenye mtego

3. Wanafanya mapenzi hata kama kuna Wasichana wenzao chumbani. Double decker juu mtu analiwa na boyfriend wake chini umelala unaangalia movie, hayo ndio maisha

4. Jioni kuna wengine wanaenda kujiuza kwenye club ila kujiuza kwao ni ngumu kufahamu maana wana act kama wanaenda ku have fun but ukimshika mkono unae

5. Usaliti upo mkubwa sana chuoni hasa pale ambapo wewe boyfriend wake unayumba kiuchumi

6. Wanafake maisha sana ila kiuhalisia wana maisha magumu hasa kwa girls ambao wanapenda kuishi expensive life
 
kumbe ndivyo ilivyo.......! huku mitaani utasikia mfanyabiashara kajitutumua na kumpeleka chuo mke/gf lkn baada ya miaka 2 ndoa/uchumba unayeyuka. naona chanzo ni hiki. awali tusio na vitabu kumkichwa tulijua binti anajitambua na kujikweza ati sio hadhi ya kuolewa na std 7 au ffffffffy (form 4 failure) kumbe kuna jambo nyuma ya pazia.
 
yaani badala ya kujadili nn utafanya baada ya kumaliza wewe unajadili wanawake are u serious ?
 
yaani badala ya kujadili nn utafanya baada ya kumaliza wewe unajadili wanawake are u serious ?
Mijitu mingine dawa yao ikija huku mtaani nikuiajiri na kuitumikisha kama punda tu hadi ishike adabu, badala ya kufikirisha akili kimaendeleo anawaza double decker, stupid!
 
Iyo ilikuwa much miaka ya nyuma now days c sana kiviiiile coz hata wahongaji ni wachache xana nyakati hizi za makinikia,,,
 
Kutowasema ni kutoitendea haki nafsi yako. Hao wanaofanya upuuzi baadaye mambo uwatokea puani. Hayo mahusiano ya vyuoni baada ya kumaliza masomo pair nyingi upotea. Tatizo huwa ni kubwa kwa mabinti maana wanaomjua hawakubali kumuoa.

Ikitokea kapata bwana na huyo bwana akajaribu kuulizia kwa ma mate wake ndo mtu ujiona ana mikosi kumbe mikosi aliitengeneza mwenyewe huko nyuma.

Ladies be watchful na haya mambo. Ujue huko mbele yatakufuata mgongoni.
 
Iyo ilikuwa much miaka ya nyuma now days c sana kiviiiile coz hata wahongaji ni wachache xana nyakati hizi za makinikia,,,
mkuu moto ule ule, sikuhizi haitaji uwe na laki tano mfukoni nina sehemu zangu nazielewa wanafunzi ukiwakuta na simple kukubaliana nao
 
KWA HIYO MTU ANAFANYA MATUSI HUKU MWENZIE KALALA JUU ANAANGALIA SERIES

Mambo mengine ni kutesana
 
mkuu hili nikubaliane nawewe nitafutie sample 3 kwanza zenye nyama nono.
pesa ipo
 
ac00f89c7e058e84333af8575888d284.jpg
 
Back
Top Bottom