TRUTH gasper
Member
- Mar 27, 2017
- 64
- 82
Habar zenu wana jamii,
Kama kicha cha habari kinavyosema nina sababu mbali za kusema kua rais wetu ni Lulu iliyoletwa na Mungu, na Lulu za aina hii inaweza kupita miongo mingi bila kupata mkombozi kama huyu. Zifuatazo ni baadhi ya issue napenda kuongelea;
1. kuna maprofessa wanaanza kujisifu as if wapo bega kwa bega na rais mfano Profesa njaa aka kitila mkumbo kumbe ana njaa binafsi
2. kuna watu wanachukulia utendaji wa rais kama vile anakisafisha chama,hapana rais anapigania maisha ya Watanzania. Amesema tuweke vyama pemben katika maslahi ya taifa
3. wapinzani baada ya kuona Rais anafanya kazi vzur na kwa weledi wanaona kama vile anawafanya wapotee kwenye ulimwengu wa siasa, sasa ndio maana kila kitu wanapinga na wanakodi watu na mitandao fulani fulani kumchafua rais
KWA MAONI
a.Tushirikiane kama watanzania,tuwe na wivu wa maendeleo kma majiran zetu, tuonyeshe umoja kwa kiongoz mwenye nia njema
b.Wapinzani wengi wako kwa maslahi binafsi
c.Najiuliza kama mamvi angechukua nchi tubgefika hapa kwel au angeendelea kuwaficha akina Chenge
d.Wapinzani kama hawataangaliwa kwa jicho la tatu wataiingiza nchi kwenye matatizo.
Jf.. ni mimi Mtanzania@trushgasper