Recent content by TrulyP

  1. T

    JamiiForums Tanzania Ndege iliyombeba Waziri mkuu Mwigulu yashindwa kupaa; yalazimika kurejea airport

    Mleta mada anaitwa KUZIMU . Ni inatisha!
  2. T

    JamiiForums Tanzania CASH vs CASHLESS

    Cashless huku kwetu ni "An expensive convenience "! Nakuapia utafilisika. Sio kwa tozo hizo!
  3. T

    JamiiForums Tanzania Wakuu Tusipuuze ishu ya Dr. Emmanuel Nchimbi na taarifa zinazoitwa za Upotoshaji, mambo huwaga hivi hivi …..

    Kwa mtu wa level ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mambo sio straight forward kama ilivyo kwetu sisi raia wa kawaida. Influence yake ni kubwa hata kama akiueleza umma mahali alipo sidhani kama kufuatilia kutaishia hapo.... Tuwe waangalifu kubashiri mambo mabaya, japo...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Safari yangu ya uasi!

    Huu ni mwisho wa dunia akyanani
  5. T

    JamiiForums Tanzania Natamani kula nyama pori nani mwenye kibali cha kuuza nyama pori kwa hapa Dodoma na anapatika maeneo gani

    Miaka kama minne au zaidi nyuma nilipita huko Dodoma na nyamapori ilipatikana soko la ndugai, kulikuwa na bucha mle. Sikumbuki vizuri huenda ilikuwa kipindi cha mwendazake.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kitanda na godoro vinauzwa milioni 1.3

    Kiongezee mvuto wa finishing ndipo uuze bei hiyo
  7. T

    JamiiForums Tanzania Hakuna tatizo lolote mwanamke kuzaa bila kuolewa au kuamua kuoa mwanamke mwenye mtoto

    Kwangu mimi ni bora single mama ambaye inaonesha angalau ana hofu ya Mungu baada ya kupata mimba hajamtumpa huyo kiumbe, kuliko mdada aliyetoa mimba moja au zaidi ili mwanaume amkute hana mtoto (kapoteza ushahidi).
  8. T

    JamiiForums Tanzania Ni kwa namna gani nzuri naweza kuishi na mama mzazi asiyeniheshimu?

    Vyeti vipo vya aina nyingi, taaluma mbalimbali. Msilazimishe watoto mambo wasiyoyamudu! Somesha vijana masuala ya hotel, utalii, ufundi ujenzi, seremala, mabomba , gereji udereva, ufundi kompyuta, programming, mapishi ya keki na vitafunwa, mapambo, n.k. atapata vyeti na ujuzi na ajira ni nyingi...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Ni kwa namna gani nzuri naweza kuishi na mama mzazi asiyeniheshimu?

    Maisha sio elimu pekee
  10. T

    JamiiForums Tanzania Ni kwa namna gani nzuri naweza kuishi na mama mzazi asiyeniheshimu?

    Anza kuwajibika kwa yote yanayokuhusu kwa 100% . Hii sio ngumu, fanya mambo kulingana na uwezo wako ili upunguze utegemezi kwa watu. Mwanadamu ana kawaida ya kuchoka kutegemewa, hata awe ndugu wa damu. Utamlaumu bure!
  11. T

    JamiiForums Tanzania Mbu kanipatia msongo wa mawazo

    Inasikitisha sana 😢
Back
Top Bottom