Hii idea yangu ya biashara ya Bajaji za Umeme mnaionaje?

hassan001

Member
Joined
Jan 1, 2019
Posts
8
Reaction score
14
Habar za Leo Wana forum

Nilikuwa na wazo moja la kutengeneza Bajaj za umeme, ambapo Nina fabricate mwenyew kuanzia chases, electronics, mpk programing

Baada ya bajaji kukamilika mchakato wa kutafuta madereva utaanza na taratbu zitafuatwa

1.Dereva atatakiwa kuripot kazIn saa moja au mbili asubh kukabdhiw bajaji ikiwa full charged na serviced
2.Dereva atatakiwa kurejesha Bajaj ofisin kuanzia saa 3 mpaka saa ya usiku
3.Hesabu ya dereva kwa siku ni 20k, service ni 5k

Lengo la kufanya hivi ni kutokan na ushindani wa kimasoko la kuuza bajaji pili kutengeneza ajira kwa vijana

Maoni yenu kweny hii idea tafadhli
 
Habar za Leo Wana forum...... Nilikuwa na wazo moja la kutengeneza Bajaj za umeme, ambapo Nina fabricate mwenyew kuanzia chases, electronics, mpk programing.
Baada ya bajaji kukamilika mchakato wa kutafuta madereva utaanza na taratbu ztafuatwa.
1.dereva atatakiwa kuripot kazn saa moja au mbili asubh kukabdhiw bajaji ikiwa full charged na serviced
2.dereva atatakiwa kurejesha Bajaj ofisin kuanzia saa Tatu mpk saa y usiku
3.hesabu ya dereva kwa siku ni 20k, service ni 5k
Lengo la kufanya hivi ni kutokan na ushindani wa kimasoko la kuuza bajaji pili kutengeneza ajira kwa vijan
Maoni yenu kweny hii idea tafadhli
Kuunganisha ma-chuma, na mabati na motor na kuweka matairi ili ulichounda kitembee siyo tatizo. Tatizo ni usalama wa chombo chako kitakapokuwa barabara. Hutahatarisha usalama wa waliopanda chombo chako na watumiaji wengine wa barabara? Chombo chako kitakuwa na ubora na usalama wa kuruhusiwa kutembea barabarani? Ushauri wangu ni huu: unda kwanza bajaji moja, ifanyie majaribio mbugani huko, tena ya muda mrefu eg mwaka mmoja, ukiona kila kitu kipo sawa nenda shirika la kudhibiti ubora na viwango, na possibly kuna mamlaka nyingine za kupitia wakipitisha ndiyo ufanye unachotaka.
 
Tengeneza kwanza kisha tafuta wafanyakazi na weka masharti unayotaka.

Ulichofanya ni kutaka kunawisha watu mikono kabla hata hujapanda mpunga wa huo wali
 
Kuunganisha ma-chuma, na mabati na motor na kuweka matairi ili ulichounda kitembee siyo tatizo. Tatizo ni usalama wa chombo chako kitakapokuwa barabara. Hutahatarisha usalama wa waliopanda chombo chako na watumiaji wengine wa barabara? Chombo chako kitakuwa na ubora na usalama wa kuruhusiwa kutembea barabarani? Ushauri wangu ni huu: unda kwanza bajaji moja, ifanyie majaribio mbugani huko, tena ya muda mrefu eg mwaka mmoja, ukiona kila kitu kipo sawa nenda shirika la kudhibiti ubora na viwango, na possibly kuna mamlaka nyingine za kupitia wakipitisha ndiyo ufanye unachotaka.
Upo sahihi kabisa Mkuu,

Safety First.
 
Dah majaribio akafanyie mbugani😀
 
Back
Top Bottom